Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
unaenda mwanza lakini? af sijaelewa ni party ya hanimuni au mna msiba make rangi nyeusi nayo mweh ha ha ha si mtakua kama kunguru huko ukumbini bora mngevaa hata njano ha ha haYaan wew ni kambea ..khe khe kheeeeeee
ex shemeji wa team kawaambia watafute makopo watapike make ndimu wameshazizoea ha ha haLeo decloper zimeisha pharmacy itabidi ambulance zikae karibu pwanya road hali zao mahamumu
ex shemeji wa team kawaambia watafute makopo watapike make ndimu wameshazizoea ha ha ha
unaenda mwanza lakini? af sijaelewa ni party ya hanimuni au mna msiba make rangi nyeusi nayo mweh ha ha ha si mtakua kama kunguru huko ukumbini bora mngevaa hata njano ha ha ha
unaenda mwanza lakini? af sijaelewa ni party ya hanimuni au mna msiba make rangi nyeusi nayo mweh ha ha ha si mtakua kama kunguru huko ukumbini bora mngevaa hata njano ha ha ha
kama ile party ya arusha waliokua yeye aunt na kajala mi hata sikuona mashabiki ha ha ha kama wapo hawazidi 10Watu walioendaga ya juzi juzi mdada mmoja kaandika insta eti ji kama walikua mashabiki wawili plus timu yake na waliowapokea kumshadidia....leo watalazimisha kupiga picha na watu...Ila ukiangalia hata kazi za haobwote wa timu mbele mbele hawana cha kuweka wazi....so ni wale wale na w kashakuwaga kama wao
ujikute tu unapanda ndege hata nauli ya bunda bus tu huna ha ha ha nkwambie kitu 90% ya team pwanya road ni product ya mulugo vidivishen five vya kutosha ndo maana hata hamjielewi mnachojua vitusi tu af vitusi hata havijaenda school ha ha haNaanzaje kukosa lablaa?? Na t shrt yangu ya wema sepetu.....na ticket ya ndege hahahahaaa ya bureee vip wew ulishapanda ndege??
ha ha ha wakaomboleze huko kwenye WEMA ALL BLACK PARTYDuuh domo nae mtata bna anawapa wenzie machungu zaidi y msiba kwa maneno hayo makali
kama ile party ya arusha waliokua yeye aunt na kajala mi hata sikuona mashabiki ha ha ha kama wapo hawazidi 10
hana mupya huyoHiyo nilisomaga mtandaoni walipata na wakuwapa raha huko...mmmh walikuwa na kazi. Kuchuma ndio ilikuwa namba one
Unajua maana ya director? Unajua angeathriwa vp na kazi yake? Yeye kama director ana haki zote za msingi kuongea anachotaka kwenye project inayomhusu, kwa hyo na wewe unafurahi alivyodanganya? Ili iweje sasa? Acheni ushabiki mavi
Ndio maana nimemuuliza anajua maana ya director? Maana anaona anajiongelea tu anasahau kuwa hiyo kazi ni ya watu, watu wengine hawatakag kabisa kuambiwa kweli kisa wema mxiuuuu yani mijitu na midude yao inadanganywa ovyo mi hapana kwa kweli mxiuuuu
walipwe na nani kwa hela ipi
naona kama umedandia tu cute b mwenyewe ndo kasema analipwa wala sio mieNiwaulize nyie mnaosemaga wanalipwa incase hujaridhika na jibu ulopewa.
naona kama umedandia tu cute b mwenyewe ndo kasema analipwa wala sio mie
do i need to understand u????Lakini nawe pia hujanielewa vizuri.
do i need to understand u????
sidhan kama mi na wewe ni two blocks....uwe na usiku mwemaYou have the answer my dear.
sidhan kama mi na wewe ni two blocks....uwe na usiku mwema
Ndio maana nimemuuliza anajua maana ya director? Maana anaona anajiongelea tu anasahau kuwa hiyo kazi ni ya watu, watu wengine hawatakag kabisa kuambiwa kweli kisa wema mxiuuuu yani mijitu na midude yao inadanganywa ovyo mi hapana kwa kweli mxiuuuu
Heaven on Earth binamu ata kualikana? Naona harusi ya shoga yako bab kubwa bibi harus peke yake