Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
warumi usinambie huna account IG mweh ukufungua unambie nikufollowHuyo dogie kujifanya anamjua wema, we ngoja nifungue account insta nitakavyompa vichambo vya haja mxiuuuuuuuu
bwahahaha haya buanaNdio familia yake mwenzangu.Dunia hii kuna mambo ya ajabu sana.
uandae koo hilo make kutangaza uwanjani si muchezomi mc nipo...!!
ndo ucelebrity wenyewe huo kwanza asipoongelewa anaanza amsha amsha za kupist pics za wanaume ili asemwe af baadae ndo anasema kua ni shooting so kwake hakuna tatizo akisemwa anafurahiNice but inauma kama ni wewe unafungua mtandao unakuta watu wanakudis Kwa mambo yasiyopendeza kama hivi ungejisikiaje? Kilicho haramu kwako kifanye haramu na kwa Jirani akihalalishe mwenyewe
Haya bibie na uolewe sasa japo uilinde heshima yako kidogo iliyobakia maana kama mpapa umejua kuugawa.
heeee unaogopa niniIvi nafunguaje bila kugundulika? Maana naogopa
hivi huyo kessy sio jamaa mmoja hv ana vishavu kama vipulizo vya ubarikio anapigaga picha na mtoto wa mama au namfananishaHalafu hua anajiita mtoto wa kiislam.Kwa uislam gani alionao? Ukiwa na urafiki na shoga au hata kuikubali ile tabia ya ufirauni na ukaunga mkono lile suala basi na wewe ni walewale hukumu zenu sawa.
MMh!! Namuonea huruma tu huyo husband wake maana mama ubaya anavyopenda maisha mazuri na kula bata mmh!! ,halafu nasikia ni katoto tu kana pesa chafu za urithi wa baba ake sijui kweli au umbea tu, ebu tusubir
Nakumbuka cku moja ktk kipindi chake cha in her shoes alikuwa anamwambia kaka meneja kuwa anataka kuolewa kwa kumnong'oneza, martin akamuuliza na nani? Sikumbuki jibu! nifah unazurura nawewe
heeee unaogopa nini
ndo ucelebrity wenyewe huo kwanza asipoongelewa anaanza amsha amsha za kupist pics za wanaume ili asemwe af baadae ndo anasema kua ni shooting so kwake hakuna tatizo akisemwa anafurahi
hivi huyo kessy sio jamaa mmoja hv ana vishavu kama vipulizo vya ubarikio anapigaga picha na mtoto wa mama au namfananisha
Mi namuonea huruma tu huyo mwanaume
YAni sitaki kabisa iusiane na account yangu ya fb,maana kila nikifungua naona facebook friends hao, mimi sitaki sijui unafanyaje msaada please Matola matumbo zavi chige Ruttashobolwa msaada wenu nataka kufungua account ya insta ila sitaki ihusiane na account yangu ya Facebook, nataka iwe separate yan ijitegemee maana kila nikifungua account naona Facebook friends inakuwa linked yan marafik zangu wa fb wanaona jina la account ya insta mimi sitaki sasa
Ahahahahah, sasa jamani si ndo mke au? Jiko si mke au yeye hafai jaman
Kwaninu na asiweee