Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

Nice but inauma kama ni wewe unafungua mtandao unakuta watu wanakudis Kwa mambo yasiyopendeza kama hivi ungejisikiaje? Kilicho haramu kwako kifanye haramu na kwa Jirani akihalalishe mwenyewe
ndo ucelebrity wenyewe huo kwanza asipoongelewa anaanza amsha amsha za kupist pics za wanaume ili asemwe af baadae ndo anasema kua ni shooting so kwake hakuna tatizo akisemwa anafurahi
 
Haya bibie na uolewe sasa japo uilinde heshima yako kidogo iliyobakia maana kama mpapa umejua kuugawa.

Nakumbuka cku moja ktk kipindi chake cha in her shoes alikuwa anamwambia kaka meneja kuwa anataka kuolewa kwa kumnong'oneza, martin akamuuliza na nani? Sikumbuki jibu! nifah unazurura nawewe
 
Last edited by a moderator:
Halafu hua anajiita mtoto wa kiislam.Kwa uislam gani alionao? Ukiwa na urafiki na shoga au hata kuikubali ile tabia ya ufirauni na ukaunga mkono lile suala basi na wewe ni walewale hukumu zenu sawa.
hivi huyo kessy sio jamaa mmoja hv ana vishavu kama vipulizo vya ubarikio anapigaga picha na mtoto wa mama au namfananisha
 
MMh!! Namuonea huruma tu huyo husband wake maana mama ubaya anavyopenda maisha mazuri na kula bata mmh!! ,halafu nasikia ni katoto tu kana pesa chafu za urithi wa baba ake sijui kweli au umbea tu, ebu tusubir

na saiv ana mjengo wake madale
nimeuona hhaa noma sana
 
Nakumbuka cku moja ktk kipindi chake cha in her shoes alikuwa anamwambia kaka meneja kuwa anataka kuolewa kwa kumnong'oneza, martin akamuuliza na nani? Sikumbuki jibu! nifah unazurura nawewe

Utamuweza yule? Huku ndio home mama kule nafuata umbea tu.
 
Last edited by a moderator:
heeee unaogopa nini

YAni sitaki kabisa iusiane na account yangu ya fb,maana kila nikifungua naona facebook friends hao, mimi sitaki sijui unafanyaje msaada please Matola matumbo zavi chige Ruttashobolwa msaada wenu nataka kufungua account ya insta ila sitaki ihusiane na account yangu ya Facebook, nataka iwe separate yan ijitegemee maana kila nikifungua account naona Facebook friends inakuwa linked yan marafik zangu wa fb wanaona jina la account ya insta mimi sitaki sasa
 
Last edited by a moderator:
ndo ucelebrity wenyewe huo kwanza asipoongelewa anaanza amsha amsha za kupist pics za wanaume ili asemwe af baadae ndo anasema kua ni shooting so kwake hakuna tatizo akisemwa anafurahi

Haya bhana yangu macho
 
hivi huyo kessy sio jamaa mmoja hv ana vishavu kama vipulizo vya ubarikio anapigaga picha na mtoto wa mama au namfananisha

Wala.Ni mkaka yuko vizuri utadhani mdada kabisa.Ni handsome kiukweli.
Nasikia nae pesa zipo nini...
 
YAni sitaki kabisa iusiane na account yangu ya fb,maana kila nikifungua naona facebook friends hao, mimi sitaki sijui unafanyaje msaada please Matola matumbo zavi chige Ruttashobolwa msaada wenu nataka kufungua account ya insta ila sitaki ihusiane na account yangu ya Facebook, nataka iwe separate yan ijitegemee maana kila nikifungua account naona Facebook friends inakuwa linked yan marafik zangu wa fb wanaona jina la account ya insta mimi sitaki sasa

Wewe hua unafungua kwa kutumia details za a/c yako ya fb ndio maana.
Kule fungua kwa kutumia email na iwe ya magumashi usifungulie ya jina lako halisi.
Mbona rahisi tu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom