warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #101
Bwana mimi simkumbuki jina lake vizuri.
Binamu siku hizi nina mambo mengi sana hadi kumbukumbu nyingine zinapotea.
Eeh? Unatuabisha wambea wenzio, wambea wote tunasifika ubongo wetu kuwa na GB kubwa kuliko watu, mwenzio nahis nina file la terabyte kwenye ubongo wangu, yani limejaa habar za watu tu, naanzaje kusahau?