Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
au malyasia?Ahahaha wapi Dinazarde, naona sasa ivi itafanyika dubai maana ile ya uwanja wa taifa ilishindikana
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
au malyasia?Ahahaha wapi Dinazarde, naona sasa ivi itafanyika dubai maana ile ya uwanja wa taifa ilishindikana
Miss you too, siku izi mnanitenga kweli mmenisusa
Ahahahahah, sasa jamani si ndo mke au? Jiko si mke au yeye hafai jaman
Wewe mwenyewe mmojawapo wa wafuasi.
Haya bibie na uolewe sasa japo uilinde heshima yako kidogo iliyobakia maana kama mpapa umejua kuugawa.
Naona wanajambisha watu uko insta utadhan ye ndo mwanamke wa kwanza kuolewa mxiuuui, namuonea huruma huyo jamaa kuoa kopo
Mmmm cjui ww umeugawa kwa wangapi????
Makombo matupu.
kamati ya mapambo nipo hapawaaapppiii bb...!!!
Mmh!! Naanzaje kukosa sasa mbea mie? Maana nitakuwa nalia tu kwa aibu, nyie wema unatuabisha wachawi, haiwezekani lazima tukeshe makaburini
make uwanja wa taifa nmezoea kuona mechi na misiba ya watu maarufu sa huyu bi harusi wa uwanja wa taifa atakua wa kipekeeHahahaaa hata sijui labda tumuulize warumi aliyeleta hii habari.
familia anayo tayari kadinda, petit man, swiss na vannyHa ha ha tumuache tu mama ubaya nae aolewe jamani.Pamoja na mambo yake lakini nae ni binadamu kama sisi anahitaji kua na familia yakeHeheheheheh
Kwani nani aliyesema yeye ni msafi hapa? Kila mtu na yake hapa tunapiga story tu siku zinaenda.
Usichukulie mambo serious wewe.
make uwanja wa taifa nmezoea kuona mechi na misiba ya watu maarufu sa huyu bi harusi wa uwanja wa taifa atakua wa kipekee
Nice but inauma kama ni wewe unafungua mtandao unakuta watu wanakudis Kwa mambo yasiyopendeza kama hivi ungejisikiaje? Kilicho haramu kwako kifanye haramu na kwa Jirani akihalalishe mwenyewe