Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

Ubuyu unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star wema sepetu inayotarajiwa kufungwa ivi karibuni. Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu zimeshachukuliwa, kinachosubiriwa tu ni bwaba harusi huyo mtarajiwa kuchukua jiko lake bila kipingamizi chochote. Mpaka sasa ivi bado mume huyo mtarajiwa wa staa huyo hajawekwa wazi kwa kuogopa watu wabaya kumfanyia fitna.

Mpaka sasa management yake inafanya siri kubwa kuhusu tukio hilo muhimu litakalobadilisha title na heshima ya msanii huyo.

Duh wanaume tuna kazi aisee yaani wema kweli?
Inahitaji uvumilivu maana kila kitu kwenye mwili wa wema kimesha deteriorate kuanzia papuchi etc.
Mcharuko kuanzia yeye mwenyewe hadi mama yake

heheheh....mkuu, hivi Wema anaweza kuwa jiko? kweli
 
MMh!! Namuonea huruma tu huyo husband wake maana mama ubaya anavyopenda maisha mazuri na kula bata mmh!! ,halafu nasikia ni katoto tu kana pesa chafu za urithi wa baba ake sijui kweli au umbea tu, ebu tusubir

Sio yule handsome nasikiaga jina lake limenitoka kidogo labda Dinazarde anamjua.
 
Last edited by a moderator:
hahahaha..anaweza kuwa mke mwema watu washangae.

Umeona eeh? Akipata anachokitaka kwanini asitulie?
Japo ni vigumu kuamini katika hili hasa kwa mwanamke aliyeshindikana kama wema.
 
Back
Top Bottom