Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

Ndoa ya Wema Sepetu yazua gumzo mjini

Sio yule handsome nasikiaga jina lake limenitoka kidogo labda Dinazarde anamjua.

Wa wapi huyo na yukoje? Ebu nipe umbea tumdisicuss labda ndio yeye, yupo insta?
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh? Akipata anachokitaka kwanini asitulie?
Japo ni vigumu kuamini katika hili hasa kwa mwanamke aliyeshindikana kama wema.

Kitu gani alichokikosa wema kwa wanaume? Kwa clement? Mmh labda huyo mwanaume ashushwe kutoka mbinguni, maana nasikiaga mume /mke bora utoka kwa bwana
 
Na hili likitokea hakika shetan atauona ufalme wa mbinguni.
 
Haya bibie na uolewe sasa japo uilinde heshima yako kidogo iliyobakia maana kama mpapa umejua kuugawa.

Nyinyi sasa ndo mnafanya tufichwe kumfahamu mume mwenyewe, Na pia mmesahau kuwa wanawake wengi hugawa sana ila yeye kabainika kwakuwa ni nyota ila naanuni kuna ma underground wamefunu kitabu Mara nyingi kuliko hata huyo star punguzeni hukumu maana na yakwenu yakihukumiwa mtaadhirika
 
Kwani nani aliyesema yeye ni msafi hapa? Kila mtu na yake hapa tunapiga story tu siku zinaenda.
Usichukulie mambo serious wewe.
 
Back
Top Bottom