Ndoa ya Zari na Mond imeishia wapi?

Ndoa ya Zari na Mond imeishia wapi?

Gasho ktk ubora wake ww jamaa hauvumiliki tumevumilia tumeshindwa hakuna namna unachembechembe tu za cameron sio bure
 
Ulialikwa au ulitangaziwa?

Nenda kamuulize mwenzio alie na wake watatu.

Yaani unamkubali Diamond bali unashindwa kujiweka tujue

Utazani hata ushawahi pata mwaliko wa kuwaangalia wakila chakula nyumbani kwake.

Diamond na Zari hadi raha
 
ZARI NA KATUNZI hadi raha
 
nasikia baada ya kupatikana KIKI na project ikaishia pale mlimani city

Ooh unatamani kuwa Diamond, pole zako mingiiiii.

Leo timu K imekuwaje hamuongelei wasanii wengine?

Shukurani zake Diamond atawapeni soon kwa promo mnalompa
 
ndio mlivyodanganywa? kwa taarifa yenu mlipigwa changa la macho, poleni sana

Ndio maana nakuambia tena unampenda sana Diamond hadi unahamu ujue kila kitu anachofanya.

Leo tuimbe ule .....kaingiaje...lol
 
hivi mkuu unamjua katunzi?

Wewe si unamjua na umeandika ndoto sasa muziki umekubali haumuwezi na komenti zako unaingia kwenye mahusiano na kutunga unadhani ndio utafanyaje sasa?

You love love love Diamond
 
Wewe si unamjua na umeandika ndoto sasa muziki umekubali haumuwezi na komenti zako unaingia kwenye mahusiano na kutunga unadhani ndio utafanyaje sasa?

You love love love Diamond

sema K 4 REAL
 
Back
Top Bottom