BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Kama Ronaldo" 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwaliko wa nini? si mpaka ndoa ingekuepo?
Gasho ktk ubora wake ww jamaa hauvumiliki tumevumilia tumeshindwa hakuna namna unachembechembe tu za cameron sio bure
Ulialikwa au ulitangaziwa?
Nenda kamuulize mwenzio alie na wake watatu.
Yaani unamkubali Diamond bali unashindwa kujiweka tujue
Utazani hata ushawahi pata mwaliko wa kuwaangalia wakila chakula nyumbani kwake.
Diamond na Zari hadi raha
nasikia baada ya kupatikana KIKI na project ikaishia pale mlimani city
chezea kuoa wewe unadhani kuoa ni sawa na kuuza sura?
ZARI NA KATUNZI hadi raha
Duh sikujua nawe ulikua nao ndotoni kama wengi. Lol
jamani ile ndoa tuliyoambiwa ingefungwa mwezi may kati ya mond na zari imeishia wapi? au ndo mambo ya kutafuta kiki? maana imekua kimyaaaaaaa
Imeishia mlangoni kwako.
pole sana mkuu najua inauma sana
ndio mlivyodanganywa? kwa taarifa yenu mlipigwa changa la macho, poleni sana
hivi mkuu unamjua katunzi?
Wewe si unamjua na umeandika ndoto sasa muziki umekubali haumuwezi na komenti zako unaingia kwenye mahusiano na kutunga unadhani ndio utafanyaje sasa?
You love love love Diamond
sema K 4 REAL
Haku kwani ni msanii mmoja nimjuae...
najua una maanisha K 4 REAL
ata kaka kama lakini ule mzigo si wa katunzi na monds hana chake pale