sihitaji marafiki
Member
- Jul 15, 2015
- 63
- 61
Hivo kumbe husband ni chidy mapenzi..... Uuuh itabidi nirudi mjini
Haswaaaa[emoji108][emoji108][emoji108]Huku ni kupatwa kwa umbea wallah[emoji108] [emoji108]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiiTuone alivyopauka [emoji45][emoji45]
HahahahhaaTuone alivyopauka [emoji45][emoji45]
Tuoneeni huruma na hayo majina jamani khaaaa, MADANGA !!!!!!!!Arudi tu mtaani madanga ya kumwaga tutagawana.
Jamaa mmoja ana duka la nguo, namuonaga tu instagram......Chidy Mapenzi ndo nani naye? Mbongo muvi au..?
Ha ha ha ha ha ha ha ha haTuone alivyopauka [emoji45][emoji45]