Ndoa yampausha Shamsa, aijutia!

Ndoa yampausha Shamsa, aijutia!

Joined
Jul 15, 2015
Posts
63
Reaction score
61
W.JPG


Haloooooooo!!! Mi mbea jamani!!

Ok iko hivi, dada yetu Shamsa ndoa imekua ndoano atelekezwa na Chidi Mapenzi. Inasemekana baada ya harusi tu Chidi akajiendea zake China kwa kisingizio cha biashara ila sio hivyo! Inasemekana ana mwanamke huko na hilo jimama ndo linamuweka Chidi mjini na Shamsa analijua hili.

Umbea umeenda mbali mpaka kufikia kwamba Shamsa alilazimisha ndoa na hana raha kabisa na ndoa yake hata uso wake umepoteza nuru na kwa mitazamo ya watu wanadai kapauka haswaaa.

Pia inasemekana post ya shoga ake Zamaradi lilikua ni dongo lake, haya karibuni tujazilishie yetu!
 
Ungeweka na picha mada ingenoga kweli mana tungejiridhisha kama kapauka kweli au la.
Hapa wale walioumia wakati kaolewa asa hivi wanashangilia tu huko waliko.
 
Back
Top Bottom