Ndoa yangu ina hali tete

" mke Wang hata Mimi najiuliza ilikuaje nikakuoa ukiwa bado mdogo. Naona Ni muda sahihi urudi nyumbani wakakuozeshe kwa mtu anaekuzidi miaka miwili ili usiendelee kuteseka hapa kwangu na mzee Kama Mimi"...Kaka unakwama wapi..?? Mahari hutafutwa na hata Mke pia hutafutwa, mwache aendee kuliko aje kukusumbua ukishazeeka.
 
Ameshindwa kukwambia ukweli wake anaougulia moyoni. Humridhishi.

Mwanamke anayetombwa vizuri kisawasawa akakunwa akakunika hawezi kumwambia mumewe wa ndoa lugha mbovu /chafu / isiyo na staha kama hayo maelezo unayosema kakuumbia mkeo. Tafsiri yake ni kwamba keshakuchoka kwasababu ni dhahiri alikubali kuolewa na wewe kwakuwa ulimtangazia "ndoa". Anakufananisha na fulani anaona mbona yule alikuwa akimtomba anamfikisha lakini kwako haumfikishi!? Labda kwakuwa umemzidi umri (umezeeka).

NDOA ni neno dogo sana lenye maana kubwa mno katika maisha yetu wanadamu. Neno hilo linawatesa mno wanawake. Moja ya mambo yanayompagawisha mwanamke ni kuambiwa ataolewa.

Wengi wao huwa wanaishia kufikiria tu namna atavaa, kukata keki, kupigiwa shamrashamra na vigelegele ,watu watakavyomuona alivyopambwa na mengineyo. Badala ya kuzama kwa kina kufikiria ndoa ni nini hasa kwa mapana yake.

Matokeo yake wanawahi sana kuchoka hasa kwakuwa matarajio yake makubwa aliyokuwa akiwaza haoni matokeo ya harakaharaka (ke, wengi wao hawana subira) wanatamani vitu vya upesiupesi unaamka leo unataka kitu fulani kesho umeshakipata.....kiaje, hawajiulizi maana wengi wao wamekuzwa kwenye kuamini kwamba mume anaweza Kila kitu.

Hiyo ni ishara mbaya sana. Mke wangu akifikia hatua ya kuniambia maneno kama hayo sitopata kigugumizi kuchukua hatua mapema sana maana nakuwa nimeshapewa warning sign ya kwamba ipo siku ataachana na Mimi.

[Maneno yangu sio sheria]
 
Unampiga pumb.u vyema?, sio kwamba anafikisha ujumbe kimtindo, kimoko chalii.
 
1:ukitoka nyumbani hakikisha unapendeza vzr mno,Kimavazi,ndevu,nyewe
2:Anza kufanya mazoezi hasa km Una kitambi hakikisha unakua athletic.
3: ukipata hela kiasi badilishamazingira mtoe out at least hata Kwa weekend nzima au mnaenda na kurejea next day,hii mtoe kabisa mjini.
4:mnunulie zawadi as surprise mara mojamoja unaporejea nyumbani.
In nutshell mfanye km vile ndio mnaanza upya mapenzi yenu,ilakunauwezekano kuna jamaa amempenda or anamtongoza wife or kuna moshi unawaka chinichini fuatilia ujue undani
 
Huo umri ni umri wangu na mke wangu ana hyo miaka 28

Mim kuna siku mchepuko wang tena yeye ndo huwa anaonekana kunitaka zaidi kaniambia kuwa nina kifua kidogo sana yaan hakijatuna kama wengine tena wakat huo alikuwa juu yangu,hapo nikajiongeza kuwa kuna mwamba yupo nae kajazia kifua
 
Jitahidi uwe unajipa kipaumbele

Kula vizuri
Vaa vizuri

Hakikisha unajiweka standard and classic.

FAIDA
Utakuwa na mwonekano mzuri
Utawindwa Sana na sio kuwinda

Maika 34 ikiwa haujipendi unavaa hovyo ,unakula hovyo lazima utaitwa mzee

Wanaume wengi wamekuwa sex machines , sperms donated
Mwisho wanachoka Sana , sura inapoteza Nuru n.k

So I recommend to you Kwa hayo mambo .

Kuitwa mzee
Age go
Kudharauliwa

Haya yote huwa ni matokeo ya kushindwa Ku-focus na LIFE yako na kuamini kuwa wewe uliumbwa kuwapambania watu Kama Mke , watoto n.k

Life is about balance

Jipende Sana then go and love other
 
Na huu ndio ukweli maana tofauti ya miaka 6 hawezi kuongea hivyo labda kama ilikuwa kwenye muktadha wa kimasihara ila kama alikuwa serious basi sababu ni hii bila kupepesa macho. Kuna mahali jemedari anatuangusha
Wewe huwajui wanawake.
Anaweza kulalamika hapumziki kuchezea koki kila siku. Unakuja kumkamata na mchepuko.
Huyo anahisi anahitaji adventure na mchepuko wa umri wake au dogo zaidi.
Au kaona mwanamke mwenzie mtaani ana mpenzi dogo mwenzie wanapendeza au wanafurahi kutoka 'out' na kufanya mambo ya anasa na kitoto.
 
Kazi kweli kweli.....
 
Bravo! Umedig deep sana hiyo ndiyo wanasema " THE MIDDLE OF NOWHERE".
 
Hakuna mahusiano ya ke kuridhishwa na kusaidiwa nje ke unaweza ukawa unampa hela unatunza vyema unaridhisha na akaamua tu kukupiga matukio ingawaje kumridhisha mwenzio ni muhimu kama sio lazima
 
Mbona hata yeye ni mzee!!!

Mwanamke mwenye miaka 28 ni mzee.

Akifika 32 menopause inaanza kumchapa taratiiibu.

Kumpa mimba mwanamke mwenye 32yrs ni mtihani sana, menopause iz knocking at her door 🚪 .

Inabidi mfanye style za kibabe kama popo Kanyea mbingu ili kumdunga mimba mwanamke @ 32yrs of age.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…