Ndoa yangu ina hali tete

Miaka6 kwenye ndoa na ana miaka 28 maana take mlioana akiwa na miaka 22. Huyo alikuwa hajamaliza stage ukakimbilia kumuoa na sasa anaona aliidhulumu nafsi yake.
Mkiambiwa muoe mishangazi ya25+ mnakataa mnakimbilia watoto😂😂😂ona sasa anakuona babu yake. Ipo siku atakuambia ulimbaka.
 
Yadunia yanaishaga basiii? wakutomaliza mpaka 50 hamalizi
 
Wanawake akili hawana, nasema wanawake wote.

Mwanaume aliumbwa Kwa lengo maalum hapa dunian ila mwanamke alikuja baadae.

Alikuja wakat mwanaume ana elimu ya vitu vingi saana katika hii dunia.

Na alikuja Kwa huruma ya mwanaume.

Na ndo maana mungu hakumpa lengo maalum.

Shetani akaichukua hiyo nafasi kumpa mwanamke lengo.

Na lengo lake kubwa ni kuangamiza wanaume yaan ulimwengu.

Namna unavoweza mwanaume kupambana na hiki kiumbe ni kuwa mchamungu.

Kuwa straight katika maisha yako. Ukiingiza huruma Kwa huyu kiumbe umekwisha.
 
Hakuna mahusiano ya ke kuridhishwa na kusaidiwa nje ke unaweza ukawa unampa hela unatunza vyema unaridhisha na akaamua tu kukupiga matukio ingawaje kumridhisha mwenzio ni muhimu kama sio lazima
Ukumbuke mwanamke anayeridhishwa na mumewe anakuwa na bond Kali sana kuliko asiyeridhishwa.

Kwani kinachosababisha me na ke kuoana ni nini? Yani mwanzo wa mwanaume na mwanamke kuamua kwa pamoja kuwa wanaoana ni nini hasa? Ni bond ambayo inakuwepo kupitia agano (viapo) na huunganishwa na tendo la ndoa. Mume ambaye ana bond nzuri na mkewe anatamani awahi kurudi nyumbani kwa mkewe mapema ukilinganisha na mume ambaye hana bond nzuri (yenye nguvu) na mkewe, na kinyume chake kwa ke pia
 
mi 35 mke wangu 25
mi akisema fyokoooooo vilago kwao.
Kuna siku tuligombana nililewa akasema Nimechoka.
Nikamjibu kama umechoka nenda kwenu unasubiri nn!! Alilia wiki zima.

Nadhan ushaonesha udhaifu wako sehemu.
Binadamu yyte ukishamuonesha vitu vyako haviendi bila yy bas kaa ukijua HAMNA RANGI UTAACHA KUIONA

ungemjibu Nenda katafute watoto wenzio”
 
Huyo kashadanganywa mahali,fuatilia utakuja unishukuru bure.Je tayari mna ndoa au mnaishi kienyeji?
 
Kuolewa akiwa na 22 sio reason,
Huyo mwanamke anatafuta sababu, tuu.
Mtu ambae ana lake atakutafutia vijisababu ambavyo havina kichwa wala miguu.
 
So mkuu Kitambi’s wewe ni mkubwa kwake ndo heka heka za ndoa?
Kama Hilo wewe umeona ni heka heka basi mkuu Kiroho safi tu hata Mie ntasema ni kweli hata wewe ulioa ukiwa mdogo.
 
Duuh umri wako sawa na wangu ba umri wa mke wako sawa na wa mke wangu, na pia tumeishi 7 years now, ila mbona hajawahi kuniambia hiyo maneno?

Kitandani show ipoje, usikute umepunguza dozi?
 
Yaan kuambiwa hivyo tu ushaingiwa na stress je siku ukiambiwa " nipige kama ww mwanamme kweli" SI utajitundika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…