Ndoa yangu ina hali tete

Asante dada
Wanatuona sio wife material🤣🤣🤣
 
wangu nampita miaka 18,celline dion alipitwa na mumewe Reen,miaka 28,profesa juma kapuya amempita mkewe miaka 50(76 kwa 26).
 
That is a huge red flag. Mkeo anakujengea hoja kisaikolojia ya kwenda kuliwa nje. Amempata bodaboda ndo maana anakuambia huo upuuzi. Kwani ulimlazimisha kuolewa?

Hapo huna chako, tafuta mke mwingine uoe na hakikisha anajua kama umeoa.
 
Tengeneza kwanza zipu yako mkuu ndo uje kulialia hapa...(Jokes)........back kwa topic ni hivi simpo tu mzee mwenzangu mzalishe chap huyo karibu anaokotwa sehemu.....akishazaa mara kadhaa ye ndo atageuka mkubwa na mzee kwako....
 
Anakuandaa kisaikolojia ili timbwili likianza usione mambo mapya !wanawake uwa wanashindwa kabisa kuficha hisia zao kama atakuwa amepata mtu nje uwa ndio wakati anapoona mapungufu yako lakini akiwa kwenye deep love hayo mambo ya uzee au sio handsome uwa hayaoni kabisa,ukute huyo mme mwenzako ndio Ali comment kuwa aliolewa mapema na wewe ni Mzee kwake!anyway jiandae Kwa vita "soon moto utawaka so long as kuna moshi"
 
Pakia mkongo huyooo kuna kijana tayari kaunganisha bao 2 kwa 1.........sasa anakuona huna jipya ...........nasema pakia mkongo sugua hiyo papa mpaka akumbuke siku aliyotolewa usichana wake............atapata adabu yake
 
kabisa,ukute huyo mme mwenzako ndio Ali comment kuwa aliolewa mapema na wewe ni Mzee kwake!anyway jiandae Kwa vita "soon moto utawaka so long as kuna moshi"
Chukua hiyo point zipumbovu itakusaidia maishani.

Ili jamaa aendelee kummiliki lazima amdanganye hivyo na wewe ukimwacha anaenda olewa na wa miaka 40
 
Duuuh hana akili huyo.

Sooni utaanza kuchapiwa, anza kujiandaa kwa lolote lile.
Achapiwe mara ngapi mwambie ukweli kakutana na vijana wadogo wanasimamia mpaka kucha ndio maana ana muona jamaa yetu mzee😂 vijana wadogo wanasimamia kucha kama wapo kwenye mashindano ya kugombania kombe la Dunia 😂
 
Sababu;-

1. Huna jipya Tena kakuzoea
2.kapata kijana anamkuna vizuri hasa Hawa gen z!
3.unakula wanga na sukari sana,umenenepa sana sio potable kama zamani,kibamia plus tumbo haichomi deep Tena,heb jaribu kumuinamisha halafu press Kwa speed asiposhtuka maana yake kisu chako butu,hakichomi maini!

Utafanyaje!!

1.kunywa vikombe viwili Hadi tatu vya kahawa nyeusi usiku baada ya kula,pia kula Kwa kiasi ACHA kufakamia mawanga,asubuhi kunywa Tena vikombe vitatu kahawa kabla ya kula chochote,utashusha choo Cha kutosha baada ya hapo kanywe supu plus vitumbua tati au nne au viazi ulaya na supu!mchana kula kiasi ,usiku pia ,rudia zoezi la kahawa pia!!

Ukifanya hayo uta maintain weight plus ngozi kuwa na mng'ao wa ngozi!

Kama kahawa huna tumia chai isiyo na sukari!! Kwa style hiyo Kila siku!
 
That is a huge red flag. Mkeo anakujengea hoja kisaikolojia ya kwenda kuliwa nje. Amempata bodaboda ndo maana anakuambia huo upuuzi. Kwani ulimlazimisha kuolewa?

Hapo huna chako, tafuta mke mwingine uoe na hakikisha anajua kama umeoa.
Hawa wanawake wapo vizuri kwenye kuroga ndugu yangu!

Kama kuongeza jiko lengine aongeze kimya kimya!

Akija kujua mbeleni huko tayari hana namna tukio limeshatokea!
 
Duuuh hana akili huyo.

Sooni utaanza kuchapiwa, anza kujiandaa kwa lolote lile.
Siyo ataanza kuchapiwa yaani hapo tayari jimbo lishavamiwa na wa umri mdogo so analinganisha na kama haupigi pipe vizuri anahisi ni kwasababu ya umri so mwamba anatakiwa apige mashine hasa ili amprove wrong kwa anachokihisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…