Ndoa yangu ina hali tete

Chetuka unasubiri kifo??
 
Kwa alipofikia ukikomaa nae
1.andika urithi
2.lipia kabisa jeneza
3 kama possible pata cont za ununio kikiita wasiteseke wana ampigia rama msimamizi anakupatia kiwanja chako
5.kama unajenga chek na rama kuna jamaa wanaleta matofali mchanga shuhulini
 
Ni hilo tu au kuna jingine umetuficha?
Umri wako unamuathiri nini yeye?
Ukute kuna mahali hujagusa na ameguswa na mtu huko mtaani basi anakuona wewe ajuza
Angalia ulipokosea urekebishe mkuu
Wewe ni mwanamke mpumbavu zaidi kuliko mke wa mleta uzi usiniulize kwanini
 
Hujamwelewa. Inawezekana uzee wako upo kitandani. Mpelekee Moto wa uhakika Hadi wale bodaboda wanaomdanganya aanze kuwaona wao ndo wazee
 
Ushauri wa humu ni sawa na kujiongezea tu stress.

Ila mkeo amekuchoka tu.
 

Vijana wanamla
 
Jiongeze mkuu maneno aliyokwambia mkeo ni mazito sana si yakuchukulia mzaha mzaha embu tafakali kwa kina sana kuna viashiria vya kukukimbia siku za usoni hapo
 
Mkeo anatafuta namna ya kuwasilisha jambo flani kwako kwa kutumia ishu ya umri wakati nyie wote bado ni vijana sanaa...Changamka kijana usiwe ka mzee sasa kama asemavyo mkeo.
 
Ila madem sjui kwann huwa wanaropoka pasina kuulizwa, me kuna moja hilo liliniambia lilibikiriwa na mmasai, lilianza "ila wamasai wana mizigo jamani" nkamuuliza mizigo gani huku moyoni nishalikinai siwezi shindana na yelo subhai mimi 🤮🤮
 
Umeshatolewa Ushauri mwingi hapa, ni Jukumu lako kuchagua utakao kufaa,

Ila vyema umkumbushe Mkeo, Wanaume hatuzeeki

Hata tukiwa na miaka 70 bado tunakuwa na uwezo wa kula mizigo
 
Mwanaume miaka 34 mzee? Weñgi wa umri huo ndo wanatafuta kuoa nà wanatafuta bikra miàka 18 na kuendelea.
Huyo hana akili acha àtafute anàyemtaka na ukimwacha ataolewa nà wa 50.
 
Hizo zinaitwa hila za mwanamke kwenye ndoa,pole...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…