Ndoa yangu ina hali tete

Hata tukiwa na miaka 70 bado tunakuwa na uwezo wa kula mizigo
Kwa wasio amini basi mfano hai huu hapa.

Pichani: Baba kafue 70yrs, anataka kuvunja ndoa ya 40yrs, ili abakie na binti wa 30yrs.
(wasifu wa baba kafue: Ana wake wawili wanaotambulika rasmi, huyu wa tatu binti wa 30s ilikuwa ni siri yake, sasa mke mkubwa amejua nini kinachoendelea)
 
Mkuu kwa umri wako wa 34 ulistahili kuwa na mke mwenye miaka 22 hadi 24 sio zaidi ya hapo.

Hapo ndiyo mngeendana na kuzeeka pamoja maana kimaumbile mwanamke anawahi kukuwa na kuzeeka.

Usije kujichanganya ukaoa mwanamke uliyempita miaka miwili ama minne huyo atakuwa bibi kizee mapema zaidi wakati wewe bado young kabisa.

Muonye huyo mkeo mwambie wewe mwenyewe ulijua umeoa mwanamke mkubwa kiumri maana wastani wa chini wa mwanamke na mwanamke kupishana ni miaka isipungue 7.
 
Amepata kijana nje anapiga show kinyama anakuona mzee.

Na 34 mume wangu 57 tuna tofauti ya miaka 20+ na simuoni mzee.
Na ndio ndoa inadumu sababu same age au gap ndogo ndio yale mwanamme kutafuta michepuko sababu tukubali ni nature mwanamke anakuwa haraka kuliko mwanamme ukiowa watu same age mkifika wote 40 mtu anaweza kudhani unatembea nje na shangazi yako. Nilishawahi kwenda kwa rafiki yangu Canada akaja mke wake kutopokea airport nilivyomuona nilishani Mama yake kaja kumpokea ila nikaona kam kiss nikashangaa ehhh mkewe huyu basi nikanyamaza tu ila moyoni nikasema mimi siwezi nikaanza kumuonea huruma jamaa yangu ila ndio hivyo, wako same age lakini kwa macho tofauti, si unajuwa wenzetu wanakutana vyuoni wanapendana. Ila kwa mimi hapana, mke lazima awe mdogo kwa mume.
 
Rudisha mashambulizi counter attack, mwambie nimeowa lakini mwanamke mkubwa nilitakiwa nachukuwa 20Yrs hivi atashusha mapanga mwenyewe.
 
Haya yote kwasababu mwanamke amebaki peke yake duniani au?

Wanawake wamejaa tele wenye heshima kwa mume hata akae nyumbani miaka yake yote ya ndoa pasipo kwenda out hawezi kunung'unika halafu ulazimishe kutengeneza ndoa kwa nungaembe moja!
 
Duuuh hana akili huyo.

Sooni utaanza kuchapiwa, anza kujiandaa kwa lolote lile.
Sio soon,ukiona hivyo ujue anachapiwa tayari..Mwanamke akianza wewe mfupi ujue kapata mrefu,Wewe mnene ujue kakutana na mwembamba,Sasa jamaa kaambiwa Mzee,ujue mke kakutana na moto au kijana wa wa 2000s
 
Mkuu Pole ulioa mwanamke hukuoa mke
 
Du,pole mwamba.
lakini mbususu unaigusa vizuri?

Mara nyingi sana uzee kwa mwanaume huwa unaanzia huko,kama uko vizuri kitandani basi jua kuna mwamba mwingine amesha muelewa kuliko ww.

kwa iyo jaribu kumshirikisha mshenga wako au mzee yyt unae muamini kwa ushauri zaidi.
 
Umemzidi miaka 6 na anakuona Mzee?
Kuna wanandoa nawafaham, mume kamzidi mke miaka 12 na ukiwaangalia ni vigumu ku note utofauti mkubwa wa umri. Mimi namzidi wife miaka 10 na miezi 4 na tunaendana.
Tatizo linaweza lisiwe miaka unayomzidi, pia wewe unajiwekaje? Uvaaji wako, muonekano wako, uongeaji wako, unanukia....
Isijekuwa unapiga suruali ya kufunika kiatu, hebu jaribu kutumia mbinu za kipelelezi kumchukua maelezo wife kivipi anakuona mzee wakati Ibrahim alimzidi Sarah miaka 10 na hawakuwa na shida?
Upande wa Wazazi, kaka na dada zake kupoje?
Lakini pia kuna uwezekano wife anachepuka na msuka dreads.
 
huyo binti hajielewi hata kidogo, labda kuna vijana wanamzuzua huko mtaani.

Mueleweshe vizuri kwamba huko nje ni kugumu sana ila kwa sasa hawezi kuona kwa vile yuko ndani na vijana wanamdanganya. Asije kujuta baadae.

Mimi mume wangu tumepishana 15 yrs na bado tupo kwenye ndoa miaka 30 sasa na hakuna plan ya kuachana tunazeeka pamoja.
 
Kiuhalisia tofauti ya miaka 6 kwa Me vs Ke ni negligible kabisa, hata wakitembea njiani usipokuwa makini unaweza usitambue. Hadi 10yrs difference bado unaweza usijue.

Huyo hakumaanisha uzee wa "uzee", kuna jambo hapo alitaka kukuambia ila namna tu ya kulifikisha alishindwa.

Ni wakati wako kujitathmini, not for her ila kwa ajili yako. Muonekano, unavyojiweka, unavyomhandle nje na ndani, unavyomlomba, unavyoongea nae.

Kimsingi saikolojia ya Ke ni ngumu sana, it needs a lot of maturity in you to handle her.
 
Kwahiyo hicho ndicho kinacho kufanya ubabaike kisa kuambiwa we mzee achaiyomambo mkuu
 
usijifanye huelewi bro,,,,kula maisha lomba sana hawa GENz wacha kabisa kuwaza ufugaji,,,,,

kama unauwezo wa kupata maziwa na nyama yanini kufuga,wachia wengine wafuge ww tafuta hela.Maana si kila mtu anaweza kero za ufugaji.

#kataa ndia3-0 Mabro lialia
 
Hayo ndiyo marupurupu yetu ya kuwa Wanaume hayo.

Hadi miaka 70+ bado tunapiga mzigo, hadi kuzalisha

Ukikutana na binti wa miaka 28 unampiga mimba za faster faster hata nne 🤗
 
Red flag
 
Achana na huyo mwanamke HARAKA. Tafuta wa kupishana naye miaka 20, utanishukuru sana.
 
Kwamba awe anawaza vipi atamfurahisha mke wake, na kama akifanya hayo Bado akaendelea kudharaulika?.

Mazoezi afanye kwa niaba ya afya yake na sivinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…