🤣🤣🤣Pole sana Mkuu,
Kitendo cha mke wako kutafuta uhamisho wa kwenda Dar, nyumbani kwao ilipaswa kukupa ishara kuwa kuna jambo baya katika ndoa yenu kwa upande wake...
Mke wako ni mtu anapenda vitu (material wife) na kazi alonayo inampa kiburi.
Na pia familia yake inahusika katika kumshauri vibaya.
Kama kweli unampenda mke wako, bas tafuta mganga wa kienyeji afanye yafuatayo,
1.Amfukuzishe kazi na asipate kazi milele na
2.Amrudishe kwako.
Kila la kheri...
Sad...😥Mambo mengine yanasikitisha sana
Kwa mwanaume kama mimi, hili halihitaji maridhiano mazeeMku pigania afya kwanza .Ukipata nguvu fresh fanya kikao utafute maridhiano ikishindikana achaneni kisheria
Yes, it's painful lakini utapona mazeeNashukuru kwa kunifariji mkuu,yaan kumpoteza mtu uliyemthamin na kushea mambo mengi inaumasana