Ndoa yangu ipo kimya na imetawaliwa na upweke sana

Mama Stan, siyo kweli kwamba ndoa zote ziko hivyo, ila ndoa zote huwa zina milima na mabonde. Hakuna ndoa ambayo iko tambalale siku zote. Unachopaswa kufanya ni kutafuta njia za kumfanya hubby wako akukaribie tena kwenye mazungumzo. Jaribu kuepuka maongezi ya kesi kila wakati (most women are good at this, lol). Uwe proactive ku-initiate mazungumzo positive ambayo yatamvuta karibu. Onyesha upendo na heshima pia.
Mabadiliko yatakuja polepole, so usikate tamaa usipoona changes in a week.
 
Umeona eeh.

Jamani hivi kama mume au mke ataacha kwa kiwango kikubwa kuonyesha love kwa maneno na vitendo, mumewe au mkewe mnategemea atapata wapi love??? Kila mtu anapenda kuwa loved; je kuolewa au kuoa ndio mwisho wa kupendwa au ndio tukubali kuwa mapenzi ya ndoa ni ya kibubu bubu; mradi watu wana do basiiii? Ukioa/ukiolewa ndio mwisho wa mtu kupendwa????

Nina rafiki yangu yeye huwa ananiuliza, hivi NK kweli mume wangu ananipenda mbona ana wanawake wengi sana? (kimoyo moyo najiuliza yeye hajuhi mi ntajuaje?). Afu huyo huyo anajijibu; lakini angekuwa hanipendi asingeweka picha yangu ofisini kwake (anajipa moyo).

Sasa mkiwapa wenza wenu sababu za kujiuliza maswali kama haya jueni mnamkaribisha shetani. Maana huyo rafiki yangu ni bomba akikwambia hajaolewa wala hana watoto utakubali; na watu wanamsumbua sana japo wanajua ni mke wa mtu. Sasa mumewe ka relax tu kisa keshamuweka ndani. Shaurilenu. Kuna siku huyo dada aliniacha hoi tulikuwa tunaongelea kufunga kizazi akasema sifungi ng'o nikiachika nikaolewa tena ? Meaning ameshaangalia uwezekano wa kuanza new life na mwanaume mwingine.

Kuna wanaume badala ya kuonyesha mapenzi kwa wake zao wao wako busy kujipendekeza kwa ndugu wa mke; wanadhani watawasaidia siku watakapopigwa chini. Lol. Unakuta mtu ana credibility kubwa kwa wakwe lakini home sifuri.

Mpende mkeo bana otherwise atapendwa na wenzio.

Na sie wanawake tuanze kuonyesha mapenzi ya wazi kwa waume zetu tuone kama hawata respond. Anza kumfanyia suprises ofisini na home; anza kumkisi mkikutana baada ya kazi. Fanya hivyo kwa hata miezi sita kama hata respond basi huyo ana lake jambo.

bt home kwa mkeo ndio mahal pa kuondolea stress sio pa kulundikia stress, ila sometmes hzo space mnazotaka zinawapelkea wenzi wenu kutafuta kile wanachokikosa kwenu nje.
 
Umeona eeh.

Jamani hivi kama mume au mke ataacha kwa kiwango kikubwa kuonyesha love kwa maneno na vitendo, mumewe au mkewe mnategemea atapata wapi love??? Kila mtu anapenda kuwa loved; je kuolewa au kuoa ndio mwisho wa kupendwa au ndio tukubali kuwa mapenzi ya ndoa ni ya kibubu bubu; mradi watu wana do basiiii? Ukioa/ukiolewa ndio mwisho wa mtu kupendwa????

Nina rafiki yangu yeye huwa ananiuliza, hivi NK kweli mume wangu ananipenda mbona ana wanawake wengi sana? (kimoyo moyo najiuliza yeye hajuhi mi ntajuaje?). Afu huyo huyo anajijibu; lakini angekuwa hanipendi asingeweka picha yangu ofisini kwake (anajipa moyo).

Sasa mkiwapa wenza wenu sababu za kujiuliza maswali kama haya jueni mnamkaribisha shetani. Maana huyo rafiki yangu ni bomba akikwambia hajaolewa wala hana watoto utakubali; na watu wanamsumbua sana japo wanajua ni mke wa mtu. Sasa mumewe ka relax tu kisa keshamuweka ndani. Shaurilenu. Kuna siku huyo dada aliniacha hoi tulikuwa tunaongelea kufunga kizazi akasema sifungi ng'o nikiachika nikaolewa tena ? Meaning ameshaangalia uwezekano wa kuanza new life na mwanaume mwingine.

Kuna wanaume badala ya kuonyesha mapenzi kwa wake zao wao wako busy kujipendekeza kwa ndugu wa mke; wanadhani watawasaidia siku watakapopigwa chini. Lol. Unakuta mtu ana credibility kubwa kwa wakwe lakini home sifuri.

Mpende mkeo bana otherwise atapendwa na wenzio.

Na sie wanawake tuanze kuonyesha mapenzi ya wazi kwa waume zetu tuone kama hawata respond. Anza kumfanyia suprises ofisini na home; anza kumkisi mkikutana baada ya kazi. Fanya hivyo kwa hata miezi sita kama hata respond basi huyo ana lake jambo.

mi miss u
 
Haya sasa... The Boss keshanambia anani miss; hapo kama baba nanii angekuwa domo zege na maneno matamu matamu siyapati toka kwake si ndio hapo sasa unakuta mtu mzima naanza ku m-PM The Boss na miss you too, unaishi wapi? etc .. wakati The Boss hayo maneno wala hayajatoka rohoni ni mdomoni tu. Lol.

just kidding.. Teh Teh Teh..

Alaaaa kumbe eeh....
 
Jamani msisahau streSs za maisha na purukushani za kuwaza maisha ya baadae,kuwekeza,kipato hakitoshi,maisha yamebadilika sana na yanachangia sana kwenye mahusiano,angalia muda mnaokuwa pamoja kwa siku baada ya kazi,angalia pending issues ziko ngapi na zinahitaji nini ku solve!pesa au?nani mchangiaji mkubwa!mbinu ziko za kukabiliana na hilo?mwanamke una msaada kwa mwezio kukabiliana na maisha ya kila siku na ambitions zenu!ongea nae ila unaweza kukuta maisha yanakimbiza kila dakika kutafakuri nini kifanyike kubadili hii hali!!!!
 
Wanaume viumbe vya ajabu sana! I must be the best wife in the world. Formulae is, unauliza kama yuko ok, akisema yes unavuta pumzi kidogo (call it space.) Unabembeleza kidogo, ikishindikana u give more space. Halafu unatafuta new hobby (anakuona tu uko jf na tabasamu panaaa, afu na wewe huongei unampa space), get a new hair style, new shoes, change wardrobe, ukijiangalia kwenye kioo unatabasamu. Ataanza kukukimbiza simu kila saa. Flava ni automatic! Love is a game, play it!
hapo ndipo mnapokosea sana
sometimes we just want space when there is a lot of stress

sio lazima kuwe kuna kitu kimetokea

WE WANT SPACE.....GET IT...
 
Pole sana Dada.
Ndoa ni Changamoto kama siyo CHANGALAMACHO.
Hicho ni kipindi cha Mpito na Ninaamini kitapita lakini nakushauri tafuta mahali ulipokosea na Ujirekebishe then utaona mafanikio kwa sababu sisi wanaume tukikosewa kidogo, Radha Inapotea Kabisa.
Angalia usije ukatafuta dogo dogo au Lijamaa jingine then yakjakukuta Makubwa zaidi ya Hayo.
KOMAA KATIKA NDOA YAKO MWANZO MWISHO na Mungu ATAKUSAIDIA.
Thanks
 
jua kwamba mwanamke ana nguvu kubwa ya kumu badirisha mwaume kukweli mpaka hapo mumeo anatimiza wajibu wandoa yake kwako ila jua moyon mwake umechuja. dada bado unafasi ya kuludisha ndoa yako. kama wote mnaenda kazini basi we uwe kwaza kuludi na yeye analudi akukute smalt and sex look na mpokee mwenyewe. kumutega mumeo unaluhusiwa na usiache kufanya ivo anapo kua nyumbani siku zima na kuwa nae kalibu na mpezawad zitazo mkumbusha nyuma. kuwa kwanza kumueleza jinsi unavo jiskia unapo kua nae na mweleze kua unapenda iwe ivi kila siku. nimuda wako wa kuchola tatoo moyon mwa mumeo jitadi kuwa mchozi kwenye swala yote ya mpez i hope u can be blecd.
 
Niliwahi kusema hapa kuwa,mnapooana kwa kuvutiwa na mtu kingono au kimapenzi ndoa yenu haiwezi kuwa long run.Ngono na mapenzi ni vitu muhimu sana katika ndoa,lakini havina uwezo wa kuifanya ndoa idumu kwa muda wote wa maisha yenu.Ndoa inahitaji UPENDO,upendo ni kumkubali mtu yoyote bila masharti yaani kama alivyo.Kipimo ni ubinadamu tu,hapo mtadumu!
 
Mimi sioni tatizo lolote, kwasababu sidhani kwenye ndoa mnaongelea mapenzi kivipi labda naomba unijuvye tafadhali? Yaani do you have a heart to heart on how u love each other au?

Mimi kwa nafsi yangu naona tunaongea mambo mengi sana na kuanzia asubuhi tunashare gari, tunasikiliza magazeti tunacomment kwenye hizo siasa za bunge, tunapashana mpaka yaliyomo humu JF,biashara tunaongelea, watoto na mitoko ya weekend, kiukweli hatuko bored na hatuongelei mapenzi!!!!

Sasa na wewe mwenzangu unaongea na mwenzako hayo ninayoongea mimi na mpo kimya?kwakweli tangu uchumba mpaka ndoa hatujakaa kuongea mapenzi au sielewi mimi kuna ndoa zinaongelea mapenzi au tunaishi kwa furaha kimapenzi? We don't have to talk about love,love is what defines our actions and union it speaks so loud by itself and so bright we gotta wear shades!!!
 
Mamii ni mapito tu hayo try to spice it up kwa kufanya yale ambayo ulikuwa unayafanya enzi za uchumba au kabla hujapata mtoto. Pengine na mumeo naye analia hivi hivi. Vunjeni ukimya usisubiri akuanze!

hahaha, Big Up soulmate....! Nice one. Kwa msisitizo tu, Busara na effective communication pia inahitajika hapo.
Na kama alivyosema The Boss, ...naye atafute Hobby (inayojenga ndoa) ya kumuweka busy....
 
Vunja ukimya ndugu yangu.
Wanasema "Be the change you wish to see..- M.Gandhi"
 
NDOA ZOTE ZIPO HIVYO
wewe sasa anza kutafuta hobby na wewe
fuatilia tamthilia kama wenzio..
mpaka aone unamsahau...

Halafu akualike siku ya matanga ya ndoa yao? hapo si ndo atakua anaimaliza kabisa?
 
kwa kuwa ushagundua tatizo....
Zungumza na mwenzio.....
Angalieni tatizo ni nini....
Pia kama kipato kinaruhusu, nendeni vocation,wawili tu.....
Nendeni out, tumieni muda pamoja....
Spice up uhusiano wenu, badilisha hata mazingira ya nyumba, arrangement ya vitu...
Change mavazi yako, appear more sexy.....
Hair style kuwa tofauti n sexy....
Mumeo nae akubali kufanya mabadiliko....
Kama mnafanya mapenzi style moja tu badilikeni style tofauti, sehemu tofauti tofauti....
Mwishousisubiri kuombwa unyumba, ukiwa na hamu muombe.... Na umhamasishe wewe ndo unajua umshike wapi umfanye nini ili mnara ukubali...... Ubunifu kunako tendo nao ni muhimu.....sio kifo cha mendeeee tuuuuu inachosha....
 
haswaaa, jaman heb rudishen maana ya ndoa, watu wawili kuwa mwili mmoja sawa kila mtu ana yake kwani tumekulia na kulelewa na watu tofauti ila mnapoamua kuishi pamoja kuna haja ya kila mmoja kuchukua nafasi yake kuhakikisha mafanikisha kilichowafanya muishi pamoja, jaman mkeo au mumeo anapaswa kuwa ua best friend. Tuwe wavumilivu guys lakini siyo unavumilia huku umekunja mikono unavumilia huku ukikazana kutafuta suluhu kila mtu akimzira mwenzie kinachofuatia ni MULIKA MWIZIIIIIIIIIIIIIIIIIIII...................

Back
Top Bottom