Iwe kwa mwanamke au mwanaume,visa vingi vivavyotusibu chanzo ni sisi wenyewe.
Na sio katika ndoa tu...kwa visa vingi vinavyotutokea katika maisha yetu,chanzo ni sisi wenyewe.Labda kwa kutochagua vizuri,kutofikiri vizuri,kutofanya uchunguzi sahihi,ku'react' vibaya,kutochukua muda kuelewa vizuri n.k n.k
Mentality hii husaidia kuwa na amani na kuwajibika kwa yale yote yanayotusibu na tunayotaka kuamua ,na kuzuia kutorudia makosa tuliyotenda nyuma.Tofauti na ile ya kujihurumia sana na kuwalaumu wengine kwa yale yatutokeayo.
Vingi sio Vyote.