Ndoa za kikristo ni kituko, wakristo wengi wanakimbilia sheria za mahakamani ndoa zinaposumbua hawataki kufuata sheria zao za kikristo

Alikuambia nani mtu akiwa na mke mmoja hawezi kuleta ugonjwa, upo dunia ipi? Wanandoa Hawaambukizani maradhi kakuambia Nani amekuambia ukioa hupati H.IV? Niliwahi kwenda kupima H.IV miaka kadha maybe 2009, niliwahi kumuuliza yule mshaur kuhusu maambukizi yana hali gani, aliniambia wanandoa wanaongoza kwa idadi kubwa, akaongeza kuwa wanawake ndio wanaoongoza kwa sababu wanaume kupimwa mtihani ukilinganisha na wanawake.
 
Kwa akili hizi unatarajia kuwa na ndoa yenye amani.

1. Acha kudandia mambo usiyoyajua kuwa msemaji. Ni heri ungeuliza ueleweshwe.

2. Kufunga ndoa sio kipimo cha kuwa rijali kwani hata masingo wanapiga show huenda kuliko hata waliooa. Kipimo cha kuwa mwanamume kamili ni hiki:
A. Kumpenda mke toka moyoni
B. Kujenga familia imara yenye maadili mema
C. Kuwaheshimu wazazi
D. Kushiriki katika ujenzi wa jamii bora

Acha mawenge uwe mwanamume kamili na baba bora.
 
Ushawahi kuona wapi ndoa ya kiislamu inavunjwa mahakamani?
Gentleman contract ni nyingi tuu, na hicho mnachoita kuvunja kisheria wala hakipo. Ni kwa sababu kwa kutoelewa wanapotezea tu lakini kwa wale wajanja wanaokwenda mahakamani kule mambo ni upyaaaa
 
Mtoa Uzi huna Leukemia kweli ?
Umeandika nn hiki Sasa.
Bro hakikisha una taarifa zote kuhusu hizi ndoa, vyeti vyake Hadi kufikia kuhusishwa kwa serikali.
 
Acha uongo mie mwenye mkristo,ukweli ndio za wenzetu Islamic ndoa zao hata zikiwa za Mme na wake 3 zipo vizuri kuliko zetu za mke mmoja.mbona huwa hatuoni huku mtaani wakisema wanapeana magonjwa??
 
Ndoa zote zinavunjwa mahakamani kwa sheria za bara. Zanzibar sijajua maana wao sijui wana kadhi. Bakwata hawana mamlaka ya kuvunja ndoa, kazi yao ni kusuluhisha. Ikishindikana wanawapa barua kwenda mahakalani
Una uwakika na unayoyasema au unabahatisha Tu?, bakwata wanaweza sitisha ndoa au kuvunjwa labda useme linapokuja swala la mali Kwa wanandoa wengine hawataki kufuata Sheria ya kiislamu ya kugawa Mali,hapo ndio maana wanaenda mahakamani.

Na kwakuwa hii sio inchi ya kiislamu basi wanakuwa huru kwenda huko mahakamani, kuna ndoa ya mtoto wa mama mdogo wangu ilivunjwa bakwata,kuna mambo yanaangaliwa ambayo kisheria yakitokea basi ndoa inakuwa haifai tena
 
Hawana mamlaka hayo, mimi mwenyewe waliniambia hawana mamlaka nikaenda mahakamani. Bakwata kuvunja ndoa haitambuliki kisheria wao ni wasuluhishi tu.
 
Kwenye ukristo hakuna hiyo sheria. Soma tena maadiko!
I
Bakwata wameporwa hayo mamlaka siku hizi.

Ndoa ya kiislamu talaka yake inatolewa na mahakama tu.

Utaanzia kwenda bakwata kwanza wao watakujazia form number 3 ambayo utaenda nayo mahakamani.. huko mahakamani ndipo talaka itatoka .baada ya kesi kusikilizwa. Hakuna talaka siku hizi ya kuandika mwenyewe
 
Nakazia hapa
 
Mtoa mada acha kukurupukia mambo ambayo huna ufahamu nayo.Muda mwingine muwe mnafanya tafiti za kutosha kuhusu masuala husika ndo mje myabandike humu.Umetumia sample size gani ya ndoa za kikristo zilizovunjika ndo ukaja na huu uzi wako?
 
Hakuna kitu kama Hicho mkuu,,,talaka katika Uislamu IPO mikononi mwa mume,na ndiye mwenye mamlaka na ndoa yake,,,,,na kesi hufika bakwata Tu endapo mke anataka kuachika na mume hataki kutoa talaka,na bakwata wanamaliza wenyewe hiyo ishu kwasababu Uislamu umekamilika na Sheria zake,,,,kinacho wapeleka mahakamani ni haki za Mali Tu,Ila mahakama ya kawaida haina haki wala hadhi ya kudili na talaka ktk Dini ya kiislamu.
 
Hawana mamlaka hayo, mimi mwenyewe waliniambia hawana mamlaka nikaenda mahakamani. Bakwata kuvunja ndoa haitambuliki kisheria wao ni wasuluhishi tu.
Ngoja nifanye utafiti kuhusiana na hii habar mpya
 

Cheti cha ndoa ya kiislamu kinatolewa na nani?

Wewe unadhani ni kwa nini waislamu wa Tanzania wanataka mahakama ya kadhi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…