Ndoa za kikristo ni kituko, wakristo wengi wanakimbilia sheria za mahakamani ndoa zinaposumbua hawataki kufuata sheria zao za kikristo

Ukristo hauna sheria moja..

Mfano wasabato utaratibu wao wa ndoa haufanani na catholic, na catholic haufanani na TAG, etc

Ukienda anglican hawafanani na KKKT.

Kujumuisha ukristo unakosea..

Kila dhehebu lina taratibu zake za ndoa .

Ukristo unafanana tu kwenye swala la ndoa ya mke mmoja.. ila sio kwenye talaka..

Na sio sheria za ukristo tu bali hata dini za uyahudi, dini za kihindi, dini za kichina, dini za kijapan.. zote hizo ndoa ni mke mmoja..

maana mwanamke ni binadamu na yeye amepewa heshima ya kufurahia maisha yake ya kuolewa peke yake na mumewe.

Sio mwanamke analetewa magonjwa ya bi mdogo.. mara ya mke wa 3 anamuambukiza mke wa nne. Yaani mume anakuwa kiwanda cha kusambaza magonjwa kwa wake zake
Alikuambia nani mtu akiwa na mke mmoja hawezi kuleta ugonjwa, upo dunia ipi? Wanandoa Hawaambukizani maradhi kakuambia Nani amekuambia ukioa hupati H.IV? Niliwahi kwenda kupima H.IV miaka kadha maybe 2009, niliwahi kumuuliza yule mshaur kuhusu maambukizi yana hali gani, aliniambia wanandoa wanaongoza kwa idadi kubwa, akaongeza kuwa wanawake ndio wanaoongoza kwa sababu wanaume kupimwa mtihani ukilinganisha na wanawake.
 
Ndoa ndoana, waweza kudhani umepata kwa kumchunguza mda mrefu kumbe ni mtego tu wa kukushawishi muingie kwenye ndoa, weeeehh!!! ingia sasa kwenye hio ndoa akiyacomoa makucha aliyoficha utaomba poo

Sheria za wakristo ni kwamba hakuna ndoa kuvunjika na hakuna kuoa tena, kiuhalisia hili ni jambo ambalo ni mtihani, kwamba kijana rijali kabisa akishindwana na mwenzake harusiwi kumuacha na kumuoa upya ?? hiki ni kituko aisee,,,, halafu walotunga hizi sheria ni mapadre ambao maishani mwao hawaruhusiwi kuoa kabisa, ndoa ikkushinda eti uende kwao upewe mafundisho ya ndoa, hivi wao wana uzoefu gani kwenye maisha ya ndoa ??

na ndio maana hizi sheria zipo kinadharia tu lakini katika uhalisia haziwezekani, hii ndio sababu ikbidi serikali iingilie katikuziba hayo mapunufu kwa kutunga sheria ambazo zimekuwa mkombozi kwa wakristo, mkristo ndoa ikimshinda atapambana mahakamani kuipata civil divorce aachane na aweze kuoa upya, zile sheria za kikristo hana mda nazo,,,

Hivi mtu umekaa na mwanandoa mwenzako hakuna amani nyumbani ni mikwaruzo kila siku, mmeoana ndio unakuja kugundua aliyaficha makucha yake na sasa kayachomoa, anakunyima unyumba, anachukia ndugu zako, n.k. hapa kuna ndoa tena ??
Kwa akili hizi unatarajia kuwa na ndoa yenye amani.

1. Acha kudandia mambo usiyoyajua kuwa msemaji. Ni heri ungeuliza ueleweshwe.

2. Kufunga ndoa sio kipimo cha kuwa rijali kwani hata masingo wanapiga show huenda kuliko hata waliooa. Kipimo cha kuwa mwanamume kamili ni hiki:
A. Kumpenda mke toka moyoni
B. Kujenga familia imara yenye maadili mema
C. Kuwaheshimu wazazi
D. Kushiriki katika ujenzi wa jamii bora

Acha mawenge uwe mwanamume kamili na baba bora.
 
Ushawahi kuona wapi ndoa ya kiislamu inavunjwa mahakamani?
Gentleman contract ni nyingi tuu, na hicho mnachoita kuvunja kisheria wala hakipo. Ni kwa sababu kwa kutoelewa wanapotezea tu lakini kwa wale wajanja wanaokwenda mahakamani kule mambo ni upyaaaa
 
Mtoa Uzi huna Leukemia kweli ?
Umeandika nn hiki Sasa.
Bro hakikisha una taarifa zote kuhusu hizi ndoa, vyeti vyake Hadi kufikia kuhusishwa kwa serikali.
 
Ukristo hauna sheria moja..

Mfano wasabato utaratibu wao wa ndoa haufanani na catholic, na catholic haufanani na TAG, etc

Ukienda anglican hawafanani na KKKT.

Kujumuisha ukristo unakosea..

Kila dhehebu lina taratibu zake za ndoa .

Ukristo unafanana tu kwenye swala la ndoa ya mke mmoja.. ila sio kwenye talaka..

Na sio sheria za ukristo tu bali hata dini za uyahudi, dini za kihindi, dini za kichina, dini za kijapan.. zote hizo ndoa ni mke mmoja..

maana mwanamke ni binadamu na yeye amepewa heshima ya kufurahia maisha yake ya kuolewa peke yake na mumewe.

Sio mwanamke analetewa magonjwa ya bi mdogo.. mara ya mke wa 3 anamuambukiza mke wa nne. Yaani mume anakuwa kiwanda cha kusambaza magonjwa kwa wake zake
Acha uongo mie mwenye mkristo,ukweli ndio za wenzetu Islamic ndoa zao hata zikiwa za Mme na wake 3 zipo vizuri kuliko zetu za mke mmoja.mbona huwa hatuoni huku mtaani wakisema wanapeana magonjwa??
 
Ndoa zote zinavunjwa mahakamani kwa sheria za bara. Zanzibar sijajua maana wao sijui wana kadhi. Bakwata hawana mamlaka ya kuvunja ndoa, kazi yao ni kusuluhisha. Ikishindikana wanawapa barua kwenda mahakalani
Una uwakika na unayoyasema au unabahatisha Tu?, bakwata wanaweza sitisha ndoa au kuvunjwa labda useme linapokuja swala la mali Kwa wanandoa wengine hawataki kufuata Sheria ya kiislamu ya kugawa Mali,hapo ndio maana wanaenda mahakamani.

Na kwakuwa hii sio inchi ya kiislamu basi wanakuwa huru kwenda huko mahakamani, kuna ndoa ya mtoto wa mama mdogo wangu ilivunjwa bakwata,kuna mambo yanaangaliwa ambayo kisheria yakitokea basi ndoa inakuwa haifai tena
 
Hawana mamlaka hayo, mimi mwenyewe waliniambia hawana mamlaka nikaenda mahakamani. Bakwata kuvunja ndoa haitambuliki kisheria wao ni wasuluhishi tu.
 
Kwenye ukristo hakuna hiyo sheria. Soma tena maadiko!
I
Una uwakika na unayoyasema au unabahatisha Tu?, bakwata wanaweza sitisha ndoa au kuvunjwa labda useme linapokuja swala la mali Kwa wanandoa wengine hawataki kufuata Sheria ya kiislamu ya kugawa Mali,hapo ndio maana wanaenda mahakamani.

Na kwakuwa hii sio inchi ya kiislamu basi wanakuwa huru kwenda huko mahakamani, kuna ndoa ya mtoto wa mama mdogo wangu ilivunjwa bakwata,kuna mambo yanaangaliwa ambayo kisheria yakitokea basi ndoa inakuwa haifai tena

Bakwata wameporwa hayo mamlaka siku hizi.

Ndoa ya kiislamu talaka yake inatolewa na mahakama tu.

Utaanzia kwenda bakwata kwanza wao watakujazia form number 3 ambayo utaenda nayo mahakamani.. huko mahakamani ndipo talaka itatoka .baada ya kesi kusikilizwa. Hakuna talaka siku hizi ya kuandika mwenyewe
 
Ukristo hauna sheria moja..

Mfano wasabato utaratibu wao wa ndoa haufanani na catholic, na catholic haufanani na TAG, etc

Ukienda anglican hawafanani na KKKT.

Kujumuisha ukristo unakosea..

Kila dhehebu lina taratibu zake za ndoa .

Ukristo unafanana tu kwenye swala la ndoa ya mke mmoja.. ila sio kwenye talaka..

Na sio sheria za ukristo tu bali hata dini za uyahudi, dini za kihindi, dini za kichina, dini za kijapan, budhist religion, hindu etc.. zote hizo ndoa ni mke mmoja..

maana mwanamke ni binadamu na yeye amepewa heshima ya kufurahia maisha yake ya kuolewa peke yake na mumewe.

Sio mwanamke analetewa magonjwa ya bi mdogo.. mara ya mke wa 3 anamuambukiza mke wa nne. Yaani mume anakuwa kiwanda cha kusambaza magonjwa kwa wake zake
Nakazia hapa
 
Mtoa mada acha kukurupukia mambo ambayo huna ufahamu nayo.Muda mwingine muwe mnafanya tafiti za kutosha kuhusu masuala husika ndo mje myabandike humu.Umetumia sample size gani ya ndoa za kikristo zilizovunjika ndo ukaja na huu uzi wako?
 
I

Bakwata wameporwa hayo mamlaka siku hizi.

Ndoa ya kiislamu talaka yake inatolewa na mahakama tu.

Utaanzia kwenda bakwata kwanza wao watakujazia form number 3 ambayo utaenda nayo mahakamani.. huko mahakamani ndipo talaka itatoka .baada ya kesi kusikilizwa. Hakuna talaka siku hizi ya kuandika mwenyewe
Hakuna kitu kama Hicho mkuu,,,talaka katika Uislamu IPO mikononi mwa mume,na ndiye mwenye mamlaka na ndoa yake,,,,,na kesi hufika bakwata Tu endapo mke anataka kuachika na mume hataki kutoa talaka,na bakwata wanamaliza wenyewe hiyo ishu kwasababu Uislamu umekamilika na Sheria zake,,,,kinacho wapeleka mahakamani ni haki za Mali Tu,Ila mahakama ya kawaida haina haki wala hadhi ya kudili na talaka ktk Dini ya kiislamu.
 
Hawana mamlaka hayo, mimi mwenyewe waliniambia hawana mamlaka nikaenda mahakamani. Bakwata kuvunja ndoa haitambuliki kisheria wao ni wasuluhishi tu.
Ngoja nifanye utafiti kuhusiana na hii habar mpya
 
Hakuna kitu kama Hicho mkuu,,,talaka katika Uislamu IPO mikononi mwa mume,na ndiye mwenye mamlaka na ndoa yake,,,,,na kesi hufika bakwata Tu endapo mke anataka kuachika na mume hataki kutoa talaka,na bakwata wanamaliza wenyewe hiyo ishu kwasababu Uislamu umekamilika na Sheria zake,,,,kinacho wapeleka mahakamani ni haki za Mali Tu,Ila mahakama ya kawaida haina haki wala hadhi ya kudili na talaka ktk Dini ya kiislamu.

Cheti cha ndoa ya kiislamu kinatolewa na nani?

Wewe unadhani ni kwa nini waislamu wa Tanzania wanataka mahakama ya kadhi?
 
Back
Top Bottom