neurosurgeon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 369
- 351
Hata mahakama ikivunja ndoa kanisa katoliki halitambui na Wala hutaweza kuoa au kuolewa kanisa kisa ulipewa talaka au ndoa imevunjwa mahakamani. Kanisa halitambui talaka.Kanisa linatumia vyeti vya ndoa vya serikali, hakuna ndoa yoyote mpaka kifo, ndoa ikishindikana inavunjwa mahakamani, kama hujui jambo ni bora uombe kuelimishwa kuliko kulazimisha maoni yako ndio yawe fact.
Sio kweli mkuu wasabato ni wakristo kwa sababu wamemkiri yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao. Rejea usemi wa "Maranatha" na jibu likiwa "Yesu anakuja". Pia rejea Yesu mwenyewe akisema yeye ndiye bwana wa sabato. Usabato umejengwa katika misingi mikuu ya kristo kuliko hata unavofikiria wewe. Kwa mfano hata pasaka ya kisabato iko katika misingi ambayo Yesu alifanya na wanafunzi wake nikimaanisha kuoshana miguu kama kiwakilishi cha ushirika mmoja katika bwana lakini pia mkate na divai kama tunavojua. Pia wasabato wanasali sala ile alioacha Yesu ya roho mtakatifu tunayoijua. Jpo tofauti ni moja tu ( Sikuja kulitangua torati bali kulitimiliza ni msingi mkuu wa ushirika wa wasabato kwa Yesu kristo na pia msingi wa imani umeundwa kwa mitume na manabii maneno ya Yesu mwenyew)Founder wa Wasabato si ndio huyu mwanamke Hellen G White?
Agano jipya ndio injili ya Yesu Kristo Sasa kama hutumii agano jipya huo Ukristo wako unatoka wapi?
Wasabato ni dini inayojitegemea na siyo Wakristu.
Pia Ellen G White sio founder maan founder ni Mungu mwenyew. Ila huyo mama ni mhimili moja wapo katika modernized world na ndo maan yeye alipewa maoni ya kutafsiri bible kama ilivokuwa kwa martin luther wa kilutheriFounder wa Wasabato si ndio huyu mwanamke Hellen G White?
Agano jipya ndio injili ya Yesu Kristo Sasa kama hutumii agano jipya huo Ukristo wako unatoka wapi?
Wasabato ni dini inayojitegemea na siyo Wakristu.
We jamaa ni msabato gani ambae unasema wasabato hawasomi agano jipya?Inawezekana ukawa sahihi..
Ila kwa ufupi
Wasabato ni Wakristo wanaomuabudu Mungu hasa siku ya Sabato, kama ilivyo kwa Wayahudi, tofauti na Wakristo walio wengi (99%) wanaoadhimisha tangu kale Jumapili kama siku ya ufufuko wa Yesu ambayo umeanza uumbaji mpya utakaofanya viumbehai kushiriki utukufu wa Mwana wa Mungu.
Pia kwa Tanzania tupo kwenye kundi la wakristo.
Hata sheria ya ndoa na mirathi ya Tanzania inatutambua kama wakristo.
Wewe kama ni mkatoliki ni zao la misale ya waumini.Hata mahakama ikivunja ndoa kanisa katoliki halitambui na Wala hutaweza kuoa au kuolewa kanisa kisa ulipewa talaka au ndoa imevunjwa mahakamani. Kanisa halitambui talaka.
Kanisa katoliki Lina mahakama zake zinaitwa tribune zinashughulika na case hizo, Kuna process za ku nullified marriage, ila hatuiti talaka, na mchakato wake ni mrefu na lazima kuwe na sababu za msingi sana.
KWANINI ZIMEKUWA NDOANO?Ndoa nyingi za siku hizi zinageuka kuwa ndoano! Ee Mola tunakuomba ukinusuru kizazi hiki cha .com.
naona umeshindwa kujenga hoja umeenda kwenye personal attack. kwanza paroko hawezi kufundisha mambo ya canon law kwa waumini. pili kama unaelewa lolote kuhusu sheria, iko hivi sheria za nchi haziwezi kutengua SHERIA ZA KANISA ( CANON LAW) tafuta wanasheria wakueleweshe vizuri. Mahakama ikitowa talaka kwa ndoa iliyofunga ndani ya kanisa katoliki hukumu hiyo haifanyi kazi ndani ya kanisa na kanisa haliwezi kuruhusu mtu aliyepewa talaka mahakamani kuja kufunga ndoa kanisa hilo halitambuliki ndani ya kanisa. kanisa katoliki ni taasisi sio kanisa tu kw uelewa wa makanisa mengine.Wewe kama ni mkatoliki ni zao la misale ya waumini.
Uhuni unaofanywa na kanisa katoliki ni kuwafunga kitambaa cheusi machoni waumini wake wasijuwe lolote wamsikilize paroko tu.
Kanisa katoliki lina sheria zake zinaitwa Canon law, wasomi wa canon kama Dr Slaa ndio maana hawakubanwa na ujinga huu walipotaka kuacha nadhiri ya upadre na kuoa.
Nakupa mfano Mdogo tu hapa chini, mtu kama huyu Freddy Maston hata kama alioa kanisani kwa hali hii kanisa katoliki linavunja hiyo ndoa mchana kweupe na mwanamke anaruhusiwa kuolewa Tena kanisani.
Kosa Kubwa sana walilofanya Waislam baada ya Uhuru kukubali kutumia Sheria za Kizungu kwenye ndoa za Kiislam na Kiafrika Kwa Ujumla. Wazungu walileta Sheria za Mila uzao na kuziingiza kwenye Ukristo. Mapadri na Wazungu walizikubali Sheria za Kizungu Kwa SABABU Walijua kuwa hazina madhara Kwa wakubwa hasa Wakoloni. Mkoloni alijua kuwa Mwafrika hawezi kamwe Kupata fursa ya kuzini na MKE Wa Governor au Bosi Wa Kizungu Lakini Wazungu Walikua wanawachezea wanawake Wa Kiafrika kama wanavyotaka na waume zao hawakuwa na fursa ya kushitaki kama jinai Bali waliambiwa wafungue Kesi ya madai.Ndoa zote zinavunjwa mahakamani kwa sheria za bara. Zanzibar sijajua maana wao sijui wana kadhi. Bakwata hawana mamlaka ya kuvunja ndoa, kazi yao ni kusuluhisha. Ikishindikana wanawapa barua kwenda mahakalani
Ndoa ndoana, waweza kudhani umepata kwa kumchunguza mda mrefu kumbe ni mtego tu wa kukushawishi muingie kwenye ndoa, weeeehh!!! ingia sasa kwenye hio ndoa akiyacomoa makucha aliyoficha utaomba poo
Sheria za wakristo ni kwamba hakuna ndoa kuvunjika na hakuna kuoa tena, kiuhalisia hili ni jambo ambalo ni mtihani, kwamba kijana rijali kabisa akishindwana na mwenzake harusiwi kumuacha na kumuoa upya ?? hiki ni kituko aisee,,,, halafu walotunga hizi sheria ni mapadre ambao maishani mwao hawaruhusiwi kuoa kabisa, ndoa ikkushinda eti uende kwao upewe mafundisho ya ndoa, hivi wao wana uzoefu gani kwenye maisha ya ndoa ??
na ndio maana hizi sheria zipo kinadharia tu lakini katika uhalisia haziwezekani, hii ndio sababu ikbidi serikali iingilie katikuziba hayo mapunufu kwa kutunga sheria ambazo zimekuwa mkombozi kwa wakristo, mkristo ndoa ikimshinda atapambana mahakamani kuipata civil divorce aachane na aweze kuoa upya, zile sheria za kikristo hana mda nazo,,,
Hivi mtu umekaa na mwanandoa mwenzako hakuna amani nyumbani ni mikwaruzo kila siku, mmeoana ndio unakuja kugundua aliyaficha makucha yake na sasa kayachomoa, anakunyima unyumba, anachukia ndugu zako, n.k. hapa kuna ndoa tena ??
Hahahaha majuzi tu hapa rafiki yangu mmoja ndoa imevinjika na kwenye harusi yake nilimchangia pesa ndefu sanaNdoa ndoana, waweza kudhani umepata kwa kumchunguza mda mrefu kumbe ni mtego tu wa kukushawishi muingie kwenye ndoa, weeeehh!!! ingia sasa kwenye hio ndoa akiyacomoa makucha aliyoficha utaomba poo
Sheria za wakristo ni kwamba hakuna ndoa kuvunjika na hakuna kuoa tena, kiuhalisia hili ni jambo ambalo ni mtihani, kwamba kijana rijali kabisa akishindwana na mwenzake harusiwi kumuacha na kumuoa upya ?? hiki ni kituko aisee,,,, halafu walotunga hizi sheria ni mapadre ambao maishani mwao hawaruhusiwi kuoa kabisa, ndoa ikkushinda eti uende kwao upewe mafundisho ya ndoa, hivi wao wana uzoefu gani kwenye maisha ya ndoa ??
na ndio maana hizi sheria zipo kinadharia tu lakini katika uhalisia haziwezekani, hii ndio sababu ikbidi serikali iingilie katikuziba hayo mapunufu kwa kutunga sheria ambazo zimekuwa mkombozi kwa wakristo, mkristo ndoa ikimshinda atapambana mahakamani kuipata civil divorce aachane na aweze kuoa upya, zile sheria za kikristo hana mda nazo,,,
Hivi mtu umekaa na mwanandoa mwenzako hakuna amani nyumbani ni mikwaruzo kila siku, mmeoana ndio unakuja kugundua aliyaficha makucha yake na sasa kayachomoa, anakunyima unyumba, anachukia ndugu zako, n.k. hapa kuna ndoa tena ??
Kwanza tuonyeshe hiyo sheria imeandikwa wapi, uifafanue. Si vema kuleta ubunifu wako na kuuita sheria ya Kikristo. Haya tuonyeshe hiyo sheriaNdoa ndoana, waweza kudhani umepata kwa kumchunguza mda mrefu kumbe ni mtego tu wa kukushawishi muingie kwenye ndoa, weeeehh!!! ingia sasa kwenye hio ndoa akiyacomoa makucha aliyoficha utaomba poo
Sheria za wakristo ni kwamba hakuna ndoa kuvunjika na hakuna kuoa tena, kiuhalisia hili ni jambo ambalo ni mtihani, kwamba kijana rijali kabisa akishindwana na mwenzake harusiwi kumuacha na kumuoa upya ?? hiki ni kituko aisee,,,, halafu walotunga hizi sheria ni mapadre ambao maishani mwao hawaruhusiwi kuoa kabisa, ndoa ikkushinda eti uende kwao upewe mafundisho ya ndoa, hivi wao wana uzoefu gani kwenye maisha ya ndoa ??
na ndio maana hizi sheria zipo kinadharia tu lakini katika uhalisia haziwezekani, hii ndio sababu ikbidi serikali iingilie katikuziba hayo mapunufu kwa kutunga sheria ambazo zimekuwa mkombozi kwa wakristo, mkristo ndoa ikimshinda atapambana mahakamani kuipata civil divorce aachane na aweze kuoa upya, zile sheria za kikristo hana mda nazo,,,
Hivi mtu umekaa na mwanandoa mwenzako hakuna amani nyumbani ni mikwaruzo kila siku, mmeoana ndio unakuja kugundua aliyaficha makucha yake na sasa kayachomoa, anakunyima unyumba, anachukia ndugu zako, n.k. hapa kuna ndoa tena ??
Hizo sheria zinapatikana kwenye kitabu kipi? Nimesoma Biblia yoote sijakutana na sheria za ndoa. Hebu nionyeshe ulikozipataNdoa ndoana, waweza kudhani umepata kwa kumchunguza mda mrefu kumbe ni mtego tu wa kukushawishi muingie kwenye ndoa, weeeehh!!! ingia sasa kwenye hio ndoa akiyacomoa makucha aliyoficha utaomba poo
Sheria za wakristo ni kwamba hakuna ndoa kuvunjika na hakuna kuoa tena, kiuhalisia hili ni jambo ambalo ni mtihani, kwamba kijana rijali kabisa akishindwana na mwenzake harusiwi kumuacha na kumuoa upya ?? hiki ni kituko aisee,,,, halafu walotunga hizi sheria ni mapadre ambao maishani mwao hawaruhusiwi kuoa kabisa, ndoa ikkushinda eti uende kwao upewe mafundisho ya ndoa, hivi wao wana uzoefu gani kwenye maisha ya ndoa ??
na ndio maana hizi sheria zipo kinadharia tu lakini katika uhalisia haziwezekani, hii ndio sababu ikbidi serikali iingilie katikuziba hayo mapunufu kwa kutunga sheria ambazo zimekuwa mkombozi kwa wakristo, mkristo ndoa ikimshinda atapambana mahakamani kuipata civil divorce aachane na aweze kuoa upya, zile sheria za kikristo hana mda nazo,,,
Hivi mtu umekaa na mwanandoa mwenzako hakuna amani nyumbani ni mikwaruzo kila siku, mmeoana ndio unakuja kugundua aliyaficha makucha yake na sasa kayachomoa, anakunyima unyumba, anachukia ndugu zako, n.k. hapa kuna ndoa tena ??
Kwa sheria za nchi, kuvunjwa kwa ndoa yoyote kama hakutambuliki na mahakama ni kwamba hiyo ndoa bado haijavunjika.Ushawahi kuona wapi ndoa ya kiislamu inavunjwa mahakamani?