Ndoa nyingi za siku hizi zinageuka kuwa ndoano! Ee Mola tunakuomba ukinusuru kizazi hiki cha .com.
KWANINI ZIMEKUWA NDOANO?
KWANINI HAZIDUMU?
Ukisoma maandiko ktk Biblia utaona kuwa ndoa zilifungwa katika jamii hiyohiyo.
Mfano Yakobo alienda oa kwa mjombae.
Angano la kale Mungu aliwaangiza waisrael wasiwatoe binti zao kuolewa na makabila nje ya Israel au vijana wao kuoa nje ya Israel.
PALIKUWA NA MAANA NYINGI KUBWA.
Kuanzia karne ya 19, mngoni alioa mngoni kadharika makabila mengine.
Kuoa kulihusisha sana wazazi,ambao walitafuta mchumba ndani ya jamii yao.
Ilikuwa hata uhawala, ngumu sana kulala na binti wa kabila lingine.
Kila kabila ina tamaduni zake hivyo wanandoa waliendana na tamaduni moja.
Mfano mzuri Masai,huwezi sikia ameoa kabila lingine,zaidi sana Masai ataoa mwanamke wa kigogo,ambae kidogo wanafanan tamaduni.
UTANDAWAZI,
Zamani mwanamke akiwa mfanyakazi, Mme akimwambia aache kazi anafanya ivo. Mwanaume hata akiwa hana pesa heshima ilikuwepo.
MUNGU ALIPOWALAANI ADAM NA EVA PALE EDEN,ALIMWAMBIA EVA, TAMAA YAKE ITAKUWA JUU YA MMEWE.
Wanawake wa sasa hawana heshima,wamesoma,wanakazi na mishahara,wanabiashara. Wanakidhi mahitaji yao, atakachohitaji kwako ni utamu tu na ukimzingua anaenda nje.
Kijana wasasa mwanamke anampatia chuo,kwenye mabasi,kwenya mziki nk.
POLENI SANA NDOA YA KIKRISTO NI MADHUBUTI SANA YANAYOTOKEA NI UKENGEUFU TU