Ndoa za sasa ni hasara kubwa kwa mwanaume na hakuna kitu utafanya

Ndoa za sasa ni hasara kubwa kwa mwanaume na hakuna kitu utafanya

Mnaokataa ndoa wote wapumbavu

Wazazi wako wangekataa ndoa
ww ungekua wap,
wazaz wanafanya to their level best
kulingana na maisha yao magumu wanajibana bana we usome
uwe na maadili mazuri leo hii mtu
unamlaumu mzazi eti mmewaacha mabinti wanaliwa
ukiachana na wazazi kuwaacha mabinti
waliwe wanaowala ni kina nani

Nyie pipo acheni kuropoka na kufata mkumbo
ukiwa unaiponda ndoa take your parents as vivid Example ukiweza apo bas tutakuskiliza

Mean
Unawalaumu wazazi wako wanamuacha dada ako ww analiwa hovyo
Mama ako mzazi anamrubuni babako mzazi kwa S*x s ndio
waheshimun wazazi wenu bas na mungu pia
Kwamfano malezi eti umlaumu mzazi wako ebu fikiria kwa dk moja kati ya ww na wazazi wako nani kasababisha ww uishienjiani kielimu
kama sio ww na upumbavu wako, najua sio wote ila najua most of you n wapumbavu

Vtu vingne vmeheshimishwa hata kwenye maandiko matakatifu
then from no where kimtu maisha yamekichanganya ooh sijui this n utapel kataa hiki

Hata kama Sjaoa lakin All of you supporting this ni wajinga na wapumbavu
 
Unachokosea unatafuta mke au mapenzi. Mke au mapenzi hayatafutwi na mwanaume. Inabidi ujiongezee thamani. Ukifocus na maisha yako watakusumbua wewe utabaki kuchagua anayekufaa.
Ni kweli Mimi ni kapuku tu ila nasumbuliwa sana,kisa sina habari nao isipokuwa nafocus na Wangu na mambo yangu tu!.[emoji3]
 
Ni kweli Mimi ni kapuku tu ila nasumbuliwa sana,kisa sina habari nao isipokuwa nafocus na Wangu na mambo yangu tu!.[emoji3]
Kaka yangu focus kwenye maisha yako na usifocus kwenye kumridhisha mwanamke. Furaha ya mwanamke ni kuwa na mume mwenye msimamo na anayehishimika na jamii. Lakini Furaha ya mwanamume ni kuwa na mke anayemtii na kumheshimu.
 
Enjoy ya jux na diamond iwafikie wote mliofurahishwa na uzi huu.
 
Tatizo mabinti wa sasa wana maex tokea wakiwa primary..
Kuna mmoja juzi wa darasa la pili alipelekwa pamoja na Mzee wa miaka 50 kwa Afisa mtendaji kwsbb walikuwa wanakulana kwa miezi kadhaa...

Mtoto yupo kawaida kabisa na confidence tele
 
Back
Top Bottom