Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,407
- 5,418
Mleta mada ana HOJA. AsikilizweHoja za kijinga Sana umetoa, nashauri mods wawe wanawapiga ban watu wapuuzi Kama wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada ana HOJA. AsikilizweHoja za kijinga Sana umetoa, nashauri mods wawe wanawapiga ban watu wapuuzi Kama wewe.
Sasa hivi wanaliwa wakiwa na miaka kumi mkuu kaa ukijua hili.. binti analiwa na kunyonya lolipop bado mbichi kabisa hata ungo hajavunjaBinti anaanza kuliwa akiwa na miaka 14 halafu anakuja kuolewa akiwa na miaka 25. Yaani miaka yote hiyo 11 anabadili wanaume tu, ukiashumu kila mwaka kaliwa na wanaume wawili maana yake ndani ya hiyo miaka 11 ameliwa na wanaume 22 kudadadeki
PoleKwa masikitiko makubwa.
Assumptions haziapply kwa kila mtu.Ndugu zangu sina haja ya kusalimia maana najua kabisa ndoa ni mateso na mlio oa mnateseka sana ila hamtaki kusema mnayabeba moyoni kama wanaume poleni kwa kweli.
Kuheshimika ni jambo la muhimu, huambatana na fursa.Kweli kabisa ndoa ni mateso japo kwa upande mwingine ni baraka na heshima mbele za jamii na mbele ya Mwenyezi Mungu.
Ni sawa as long as upo tayari kufanya hayo maamuzi.Mimi natarajia kuja kuoa na ninatafuta mke , ila simshauri kabisa mwanaume mwezangu kuoa kwani mimi nimekubaliana kubeba msalaba wangu mwenyewe na sitaki kusaidiwa kabisa.
Ulevi Vs Mke. Za kuambiwa changanya.Nikimuonea huruma mwanaume mwezangu nitamwambia kama huwezi kuishi mwenyewe basi ishi na mwanamke au kuwa mlevi wa pombe kali sana maisha yaende na siyo kuoa japo mimi nimejitoa kujakuoa, msalaba wangu nitaubeba na sitaki kusaidia kamwe
Wanawake bora wapo. Vijana wanaoa na ndoa zinadumu. Jamii yetu bado ina mama na mabinti wenye maadili.Kwa kweli wazazi wetu mmetukosea sana sisi vijana wenu na inapaswa mtuombe radhi, wazazi mmeshindwa kuchunga mabinti zenu mnawaacha wanazurura huku na huko, wakidanga sana na hata kulala na baba zao , kwa kweli inauma sana sasa sisi waoaji tufanyaje.
Waepuke malaya. Kama nilivyosema mabinti wenye maadili wapo.Baba zetu bila aibu mnatukosea zaidi sana, mnatuchukulia mabinti wadogo ambao ni wake zetu kabisa wa baadae mnalala nao na kuwazubaisha kwa hela ili watukatae sisi vijana chipukizi.
Mabinti wenye maadili wapo.Baba na mama zetu mnashindwa kutunza mabinti zenu ili tuje tuwapose na kuwaoa bali kwa kusingizia eti ugumu wa maisha, mara utandawazi, mara sijui ana mapepo sijui mpeleke kwenye maombi au kalogwa huku mkidanganywa na mitume na manabii wa uongo kuwa anapepo ataombewa badala yakumchapa binti viboko anyooke.
Mabinti wenye maadili wapo. Sio lazima kupambana na malaya.Binti wako anamiliki simubya thamani sana, anasuka kwa gharama kubwa, viatu na nguo za gharama kubwa humuoji hela anapata wapi upo tu umezubaa zubaa kwa kuhofia eti binti yako atakuchukia, kweli Wazazi wetu hapo mmetukosea sana sisi vijana wenu wa kiume .
Pesa ni muhimu kabla ya kuwa na binti mwenye maadili.Wamama mmekua pia chanzo kikuu cha kuharibu mabinti zenu mkiwa fundisha kupenda hela na kumkalia mwanaume, kiburi, ujeuri na malumbano , ubishi usio na faida na mwishowe hata kumwambia bora azae tuu mjukuu hatukatai kuliko akateseke kwenye ndoa
Boss ukioa binti sahihi ili si tatizo as long as unatimiza majukumu kama mumeWazazi mnadiriki kuwaambia mabinti zenu hapa hujafukuzwa ,nenda kwa mumeo ukimshindwa rudi nyumbani tutakupokea huo ni ujinga mnaoufanya. Mmefanya mabinti zenu kuwa jeuri sana kwa kweli sisi vijana wenu tunajikuta tunabaki katikati nioe au nisioe, nipige mimba nipate mtoto au nifanyaje. Kwa kweli inasikitisha sana.
Mabinti wenye maadili wapo na wanaolewa na ndoa zinadumu.Ndugu zangu kadiri unavyo zunguka mitaani , mijini , vijijini na mikoa mbali mbali mabinti wamezagaa huku na huko waliojawa tamaa sana za hela na maisha mazuri mazuri na wanaogawa sana kweli kweli nyuchi zao bila kujali lolote.
Ni kuomba upate asiye na tabia hizi.Pia wapo wale mabinti wanaojificha kwenye nyumba za ibada ,wakijifanya mitume , manabii, wanakwaya, wahudumu wa nyumba za ibada ila nako hakuna kitu kabisa . Wanafanya tuu hivyo ili tusiwaone kirahisi kuwa na wao hawafai kuolewa.
Mtoto wa kike anapaswa kulindwa. Kumwingilia binti wa drs la tatu ni kinyume cha sheria na unyama wa hali ya juu.Inasikitisha sana kuona binti wa darasa la tatu kapigwa pipe za kutosha na kawa sugu mno, sasa unafikiria huyo atakaye kuja kumuoa atawezana naye kweli.
Mwanaume unaweza kuoa binti mwenye maadili na ndoa yako ikawa ya mafanikioKwa kweli kwanini nasema haya naenda mbele na kurudi nyuma ..
1: Mwanaume ukitaka kuoa lazima ukubali kuoa sikrepa litakalo kuendesha huko mbeleni na baadaye kuvunja ndoa mwenyewe huku wewe ukiachwa na umasikini wako na yeye akifaidi mali zako kilaini sana.
Mwanaume unaweza kuoa binti mwenye maadili na ndoa yako ikawa ya mafanikio2: Mwanaume ukikubali kuoa kubali huyo mwanamke wako alikua danga huko nyuma hivyo lazima anakucompare na hao maex wake wa utotoni na akifanikiwa kukutana nao lazima awape waoshe rungu tena..
Mwanaume unaweza kuoa binti mwenye maadili na ndoa yako ikawa ya mafanikio3: Mwanaume ukikubali kuoa katika kizazi hiki ,hakikisha upoteyari kunyanyasika haijalishi mkeo analipwa milioni tatu na wewe elfu 50 kaa posho ya kibaruani kwa mwezi ila jua wazi kabisa hatauanguke uugue hatotoa hela yake kukupa wewe , atataka itumike hiyo elfu 50 yako na ikiisha ni ugomvi mtupu.
Mwanaume unaweza kuoa binti mwenye maadili na ndoa yako ikawa ya mafanikio4: Mwanaume ukikubali kuoa kubali kabisa kwamba umeoa mwanamke aliyeshindikana kwao , hivyo wewe umewasaidia wazazi wake kubeba mzigo mzito maisha yako yote na daima laani wazazi wake kwa kushindwa kulea binti yao, tena mahari usitoe ikibidi
Mwanaume unaweza kuoa binti mwenye maadili na ndoa yako ikawa ya mafanikio5: Mwanaume ukikubali kuoa, jua wazi kabisa mkeo utachapiwa na atakuletea watoto wa nje huko na huna cha kumfanya, na ukifurukuta atakupeleka huko wanako tupelekaga na wewe utagandamizwa tuu kutoa matunzo ya mtoto
Mwanaume unaweza kuoa binti mwenye maadili na ndoa yako ikawa ya mafanikio6: Mwanaume ukikubali kuoa jua wazi wewe hutofaidika na ndoa tofauti na mkeo, utakachopata tuu ni ndugu ambao ni wanao na ukikaa vibaya wataungana na mkeo kukuangamiza kabisa uhai wako
Mwanaume unaweza kuoa binti mwenye maadili na ndoa yako ikawa ya mafanikio7: Mwanaume ukikubali kuoa kubali kua mvumilivu mpaka kufa na siyo vinginevyo ukikataa kuwa mvumilivu utaua mkeo na hatimaye utaishia jela.
Sio lazima kuoa ila kama unapemdezwa na hilo tafuta binti sahihi kwa wakati sahihi na ukiwa na bahati mbaya ukakosea achana na hiyo ndoa. Maisha ni zawadi.Mimi najua yote haya ila nitaoa, WAKATAA NDOA WAPO SAHIHI KABISA NA NAJUA KWANINI WANAKATAA NDOA, ila mimi nitaoa japo sitakaa ni mshauri mwanaume mwenzangu aoe, sipo teyari kuona mwanaume mwezangu anateketea kizembe sana.
Watu wataendelea kuoa, ndoa zitaendelea kudumu, ndoa zitaendelea kuvunjika.NDOA NI HASARA KWA MWANAUME , MABINTI WA SASA HAWAFAI KUOLEWA .
TAFUTA UNAYE WEZANA NAYE ISHI NAYE ILA SIYO KUOA. UKISHINDWA KABISA OA ILA SIKUSHAURI MIMI
Kwani wao hawana nyegeNyenge mbaya Sana ndo zinawapa Maisha Hawa viumbe
Ban haitoshi, watu wanaotoa hoja za kijinga wanatakiwa kupigwa mande.Hoja za kijinga Sana umetoa, nashauri mods wawe wanawapiga ban watu wapuuzi Kama wewe.
Usifanye kitu kwaajili ya kumfurahisha mtu / mzazi.Mi nimeoa kwakuwa wazazi wangu hawapendi nikae bila mke. Nimeoa kwa kuwa ndo furaha ya mama yangu.
LEGENDARY ADVICEUshauri wa bure: Ukioa puuza mwanamke, otherwise utakuja kuua au kuzuru mtoto wa watu.
Na huu ndio uanaume Sasa hongera sana tata kazi iendeleeMtoa mada ana hoja asikilizwe..
Mm mke na watoto ni wafanyakazi wangu nawapigisha kazi..mke akiwa mjamzito nafurahia sana sabb ananiongezea cheap labour au free labour...ndugu zake nao wakiomba kuja ish kwangu nawakaribisha coz nawageuza cheap labour kwenye kazi zangu zote Kuanzia nyumban hadi kitaaa...
Kweli usipokua mjanja ndoa ni janga kama mleta uzi alivyoainisha...
Note..fanya yote but hakikisha Siri ya mafanikio inabaki kuwa top secret mke, watoto, ndugu wasijue...coz wanaweza kukupindua...nikifa watajuana wenyewe
Unaoa mtu ametobolewa na Kila aina ya mshedede ni huzuni sana [emoji23]Alafu unakuja kumuoa.. sometime pia wanaosema oa mwanamke bikra nao naona wapo sahihi kabisa
Imebidi niikate vipande mada yako maana ina vipengele vingi vya kujadili kivyake.Kwa masikitiko makubwa.
Ndugu zangu sina haja ya kusalimia maana najua kabisa ndoa ni mateso na mlio oa mnateseka sana ila hamtaki kusema mnayabeba moyoni kama wanaume poleni kwa kweli.
Umaskini ni laanaKwa masikitiko makubwa.
Ndugu zangu sina haja ya kusalimia maana najua kabisa ndoa ni mateso na mlio oa mnateseka sana ila hamtaki kusema mnayabeba moyoni kama wanaume poleni kwa kweli.
Kweli kabisa ndoa ni mateso japo kwa upande mwingine ni baraka na heshima mbele za jamii na mbele ya Mwenyezi Mungu.
Mimi natarajia kuja kuoa na ninatafuta mke , ila simshauri kabisa mwanaume mwezangu kuoa kwani mimi nimekubaliana kubeba msalaba wangu mwenyewe na sitaki kusaidiwa kabisa.
Nikimuonea huruma mwanaume mwezangu nitamwambia kama huwezi kuishi mwenyewe basi ishi na mwanamke au kuwa mlevi wa pombe kali sana maisha yaende na siyo kuoa japo mimi nimejitoa kujakuoa, msalaba wangu nitaubeba na sitaki kusaidia kamwe
Kwa kweli wazazi wetu mmetukosea sana sisi vijana wenu na inapaswa mtuombe radhi, wazazi mmeshindwa kuchunga mabinti zenu mnawaacha wanazurura huku na huko, wakidanga sana na hata kulala na baba zao , kwa kweli inauma sana sasa sisi waoaji tufanyaje.
Baba zetu bila aibu mnatukosea zaidi sana, mnatuchukulia mabinti wadogo ambao ni wake zetu kabisa wa baadae mnalala nao na kuwazubaisha kwa hela ili watukatae sisi vijana chipukizi.
Baba na mama zetu mnashindwa kutunza mabinti zenu ili tuje tuwapose na kuwaoa bali kwa kusingizia eti ugumu wa maisha, mara utandawazi, mara sijui ana mapepo sijui mpeleke kwenye maombi au kalogwa huku mkidanganywa na mitume na manabii wa uongo kuwa anapepo ataombewa badala yakumchapa binti viboko anyooke.
Binti wako anamiliki simubya thamani sana, anasuka kwa gharama kubwa, viatu na nguo za gharama kubwa humuoji hela anapata wapi upo tu umezubaa zubaa kwa kuhofia eti binti yako atakuchukia, kweli Wazazi wetu hapo mmetukosea sana sisi vijana wenu wa kiume .
Wamama mmekua pia chanzo kikuu cha kuharibu mabinti zenu mkiwa fundisha kupenda hela na kumkalia mwanaume, kiburi, ujeuri na malumbano , ubishi usio na faida na mwishowe hata kumwambia bora azae tuu mjukuu hatukatai kuliko akateseke kwenye ndoa
Wazazi mnadiriki kuwaambia mabinti zenu hapa hujafukuzwa ,nenda kwa mumeo ukimshindwa rudi nyumbani tutakupokea huo ni ujinga mnaoufanya. Mmefanya mabinti zenu kuwa jeuri sana kwa kweli sisi vijana wenu tunajikuta tunabaki katikati nioe au nisioe, nipige mimba nipate mtoto au nifanyaje. Kwa kweli inasikitisha sana.
Ndugu zangu kadiri unavyo zunguka mitaani , mijini , vijijini na mikoa mbali mbali mabinti wamezagaa huku na huko waliojawa tamaa sana za hela na maisha mazuri mazuri na wanaogawa sana kweli kweli nyuchi zao bila kujali lolote.
Pia wapo wale mabinti wanaojificha kwenye nyumba za ibada ,wakijifanya mitume , manabii, wanakwaya, wahudumu wa nyumba za ibada ila nako hakuna kitu kabisa . Wanafanya tuu hivyo ili tusiwaone kirahisi kuwa na wao hawafai kuolewa.
Inasikitisha sana kuona binti wa darasa la tatu kapigwa pipe za kutosha na kawa sugu mno, sasa unafikiria huyo atakaye kuja kumuoa atawezana naye kweli.
Kwa kweli kwanini nasema haya naenda mbele na kurudi nyuma ..
1: Mwanaume ukitaka kuoa lazima ukubali kuoa sikrepa litakalo kuendesha huko mbeleni na baadaye kuvunja ndoa mwenyewe huku wewe ukiachwa na umasikini wako na yeye akifaidi mali zako kilaini sana.
2: Mwanaume ukikubali kuoa kubali huyo mwanamke wako alikua danga huko nyuma hivyo lazima anakucompare na hao maex wake wa utotoni na akifanikiwa kukutana nao lazima awape waoshe rungu tena..
3: Mwanaume ukikubali kuoa katika kizazi hiki ,hakikisha upoteyari kunyanyasika haijalishi mkeo analipwa milioni tatu na wewe elfu 50 kaa posho ya kibaruani kwa mwezi ila jua wazi kabisa hatauanguke uugue hatotoa hela yake kukupa wewe , atataka itumike hiyo elfu 50 yako na ikiisha ni ugomvi mtupu.
4: Mwanaume ukikubali kuoa kubali kabisa kwamba umeoa mwanamke aliyeshindikana kwao , hivyo wewe umewasaidia wazazi wake kubeba mzigo mzito maisha yako yote na daima laani wazazi wake kwa kushindwa kulea binti yao, tena mahari usitoe ikibidi
5: Mwanaume ukikubali kuoa, jua wazi kabisa mkeo utachapiwa na atakuletea watoto wa nje huko na huna cha kumfanya, na ukifurukuta atakupeleka huko wanako tupelekaga na wewe utagandamizwa tuu kutoa matunzo ya mtoto
6: Mwanaume ukikubali kuoa jua wazi wewe hutofaidika na ndoa tofauti na mkeo, utakachopata tuu ni ndugu ambao ni wanao na ukikaa vibaya wataungana na mkeo kukuangamiza kabisa uhai wako
7: Mwanaume ukikubali kuoa kubali kua mvumilivu mpaka kufa na siyo vinginevyo ukikataa kuwa mvumilivu utaua mkeo na hatimaye utaishia jela.
Mimi najua yote haya ila nitaoa, WAKATAA NDOA WAPO SAHIHI KABISA NA NAJUA KWANINI WANAKATAA NDOA, ila mimi nitaoa japo sitakaa ni mshauri mwanaume mwenzangu aoe, sipo teyari kuona mwanaume mwezangu anateketea kizembe sana.
NDOA NI HASARA KWA MWANAUME , MABINTI WA SASA HAWAFAI KUOLEWA .
TAFUTA UNAYE WEZANA NAYE ISHI NAYE ILA SIYO KUOA. UKISHINDWA KABISA OA ILA SIKUSHAURI MIMI