nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Hivi vile viapo wanavyoapa makanisani/misikitini huwa wanaviishi kweli?
Ni mke wa afisa mmoja wa ngazi ya juu huko serikalini, sasa jana wakati nawasiliana nae nikamtania na hamu ya kunyonya maziwa akanitumia emoji ya kucheka.
Eeh! Sijakaa sawa nikatumiwa picha za maziwa na alivyo mweupe nilienda mnara usiku kucha, hapa nilipo napata moja mbili baridi bado namtafakari why alinitumia mimi picha za maziwa yake.
Ama ndio ishara ya kwamba “Yuko tayari kunitunuku penzi lake motomoto” kwa ufupi nawaonea huruma vijana ambao ndoa zao bado changa kuna kuumizwa sana, kuzungukwa na kuchapiwa.
Pia kwa wale ndugu zangu ambao safari ni moja wapo ya majukumu yenu, niwaase sana msikague kague simu za wenza wenu Tanzania ya sasa imechafukwa maana utakayokutana nayo huko unaweza jikuta unaunga kuzimu mapema mno.