Sasa ni He gani hapendi kufuliwa chupi yake na she? Ooh sorry, nimesahau, hivi wewe ni he au she?
Mfano Mzee alikuwa amepata ghafla tumbo la kuendesha sasa unakuta kuna mchuzi kwenye Boxer.....why not Washing Machine? Umenisoma bila shaka!
Mpwa nilipata pesa za DECI, naomba uniagizie miwani hiyo duuuu....
hiyo afue mwenyewe....nitajuaje kama ni mchuzi a kikweli au mengine...mikono yake ifanye kazi hapo.
kwani wanaume WOOOOOOOOOOTE hapa duniani wanapenda kufuliwa chupi na wake zao?? acha masihara weye...
Labda nikuazime ya kwangu kwa muda. Hii ni ya kurithi mpwa. Haiuzwi.
Mfano Mzee alikuwa amepata ghafla tumbo la kuendesha sasa unakuta kuna mchuzi kwenye Boxer.....why not Washing Machine? Umenisoma bila shaka!
Kiwanda kilifungwa?
Sijui babu yangu aliipata wapi. No wonder aliacha wake 8 na watoto 93. Labda atanirithisha na hicho kipaji.
jamani angalieni michango yenu msijewafanya wengine wakaanza kufikiria mara mbili mbili wakati wanajiandaa kufua hizo ndude!
Jibu swali mama/baba. Are you she or he?
mie ndio kashanitia kinyaa hivyo....
Tukutane leo kule Keko Machungwa, uniazime japo kwa week end, vipi nikikutana na Nyamayao! Nikamcheki na hiyo miwani? Sitaona hata visivyoonekana nibakie duuu mdada amefungasha looooh
MJ1,Nyamayao, F1, Triplets, msindima umelala mmeo karudi yupo tungi yaani kalewa huku na huku unamwandalia supu na kumnywesha unakukuruka mpaka kitandani unamlaza usiku anaachia mzigo kitandani haja kubwa ndogo zote kwa pamoja utafanyaje?

Fidel nitamsafisha maana hakuna jinsi ama sivyo nitalala wapi na shughuli ya mtu mzima si unajua khabari yake?!
Hivi vya hivi ndo wanaviitaga for better for worse au? nyamayao hebu nisaidie
MJ1,Nyamayao, F1, Triplets, msindima umelala mmeo karudi yupo tungi yaani kalewa huku na huku unamwandalia supu na kumnywesha unakukuruka mpaka kitandani unamlaza usiku anaachia mzigo kitandani haja kubwa ndogo zote kwa pamoja utafanyaje?
ntamsafisha na kubadilisha mashuka, halafu ntaendelea kuuchapa usingizi