Ndoa za siku hizi

hahahahahahahah!nimecheka hadi nikalia,hivi shemasi:

ZD NI HE,AU SHE?

dah, naona kuna katekista, shemasi nk, mi nadhani ukadinali utanifaa zaidi.
 
hivi wewe unapoteza muda kwenye keyboards?nilidhani unatumia blackberry kama krispini na mim?
sio lazima nitumie blackberry, hata laptop si zipo kwani ni lazima iwe pc ya mezani? hehee the point remain the same whether you are using blackbery or laptop. suala ni kwamba we are talking about time, got it?
 
hivi...niulize...kwanini..suala..zima..la...mapenzi..ni..la.."mfumo..dume"?
utakuta..kuna..maneno..kama..."kuoa"..(na..sio..kuoana),.."kumega"..(na..sio..kumegana)...nakadhalika..na..kadhalika
 
hivi...niulize...kwanini..suala..zima..la...mapenzi..ni..la.."mfumo..dume"?
utakuta..kuna..maneno..kama..."kuoa"..(na..sio..kuoana),.."kumega"..(na..sio..kumegana)...nakadhalika..na..kadhalika

Hizo nuktanukta ni kugugumizi au kitu gani? Naona tayari wewe.
 

Hahhahahaaa............
kwa mwelekeo huo na kwa maneno hayo kama utamwambia mume wako ndoa haitadumu kabisaa... ama kama itaendelea kuwepo haitakuwa na amani hata chembe,
Mume atakuwa akiondoka leo anarudi kesho ilimradi siku ziende na kama si hivyo basi maisha yatakuwa kama jehanam ndogo.
wanamke mwerevu hujenga nyumba yake mwenyewe na mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe.
Na ndio maana Jaqline akiolewa na John kabla hawajapata mtoto ataitwa mama John na John ataitwa Mr John na sii baba Jaqline.
 
kwa taarifa yako sas mume wangu akitoka kazini hata bar haendi anawahi nyumbani tushirikiane kulea watoto na kusaidiana majukumu, na ndoa yetu in furaha kwa kuwa tunashirikiana kila kitu, kwenye budget na kwenye majukumu ya kufua na kunyoosha. hakuna mtumwa wa mwenzie na hakuna anayetake advantage ya mwenzie iwe ya kipesa au ya ki majukumu ya ndani, na hiindo maana nzima ya marriage. sasa kama wewe unadhani unajenga yako kwa kuwa mtumwa, its your way, do it if it fits you.
 
btw, karibu jf na karibu jukwaa hili la mahusiano😱
 
wwe upo bongo au ughaibuni?
 
carmel hao wengine hawawezi kukuelewa .........weshazowea kugeuza wake zao kaa matambara
 
Absolutely beautiful black African SHE with beautiful tits and tiGo. Kazi kwenu kugundua vipaji vyenu watumishi wenzangu.

Makubwa haya we Chrispin! haya yanatokea wapi tena? nitaanza kukuogopa.Na hiyo tigo hapo unanitusi?
 
We hujakutana na simba wa yuda. Limeshafika limjamaa na stiringo imekasirika afu umnyime misosi? Hahaha! Hiyo red imenifanya nichomoe shati. Nimesahau miwani yangu, ningeivaa sijui ningesoma nini hapo.


nilienae mwenyewe kichwa maji, sema kakutana na mie hazimoo bac haaa ngona dro cku zinasonga!
 
irene ....mambo ya kumwita mwanamke akiolewa t (au hata baadae) mama "jina la mume" mbona ni mambo ya kizamaani

mimi siitwi mama fulani.....kwani NIMEMZAA?
 
Nadhani watu wanachanganya mada hapa.Kwani haya mambo yana mahali pake.Kama wewe ni mwanaume je unaonaje kufanyiwa kila kitu na maid.Na kama wewe ni mwanamama hata kama hujaolewa je unaonaje kufanyiwa kila kitu na maid.Ukishaanza kuwaaachia wadada/wakaka wanaokusaidia kazi,kufanya kazi zote ujue ukizoea itakuwa hivyo hivyo kwa mumeo/mkeo.Mwanaume/mwanamke aliyejizoeza kufanya kazi zake akiwa bado hajaanza familia ni rahisi sana kuendeleza usafi na kutunza na kujali mazingira yake kwa kujituma bila kutegemea msaada wa mtu mwingine lakini kama amezoea kutuma na kufanyiwa itakuwa ngumu.Isitoshe utumwa sio lazima uwe enzi zile za zamani bali hata leo kuna wengine wanawafanya wengine ama kuwarudisha wengine kana kwamba bado utumwa ungaliko.
 
carmel hao wengine hawawezi kukuelewa .........weshazowea kugeuza wake zao kaa matambara
Afadhali unanielewa, ifikie mahali wanawake waheshimiwe na kuthaminiwa kwa kuwa michango yao katika familia ni mikubwa...tena mno, siyo kulimit akili zao kwenye kupika na kupakua tu, na wanawake wenyewe wameshakuwa brain washed hawataki kuthink outside kupika na kupakua na kufua, yani kwao hiyo ni confort zone ambayo hawataki kutoka nje. kwani nani kawambia kuwa wanaume hawawezi kupika na kufua na kunyoosha, mbona makwao wanafanya haya yote? kwa nini wakishaoa wanataka kubadilika? halafu hawa hawa wamama wakiwa na watoto wa kike na kiume wanataka wale wa kiume wawasaidie dada zao kazi za nyumbani, what changes when they get married, au kwa kuwa yule mke wa mwanao si mtoto wako? it sucks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…