carmel
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,836
- 265
Asante kwa kuliewa hilo, at least naona busara yako. ni mpangilio tu.unajua nini inategemea na mwanaume na mazingira.kila mwanaume ana utashi wake na jinsi mlivyopangilia kuishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kuliewa hilo, at least naona busara yako. ni mpangilio tu.unajua nini inategemea na mwanaume na mazingira.kila mwanaume ana utashi wake na jinsi mlivyopangilia kuishi
......... Mwingine anakutishia unaninyima nitakwenda tafuta nje usinilaumu amha ina maana we huoni kama umenikosea!!! wanaume wengine bwana!
taratibu nyamayao usijepigana na keyboardyaani akisema hivyo cjui nitalifanyaje kwa kweli....cna jibu la haraka haraka kwa sasa subiri cku liniambie hivyo ndio nitajua cha kufanya...yaani anitishie akatafute nje? kwani yeye akisemaga amechoaka mie namtishia hivyo?....cjui itakuwaje ni bora aende kimya kimya na nicjue kuliko kunitishia aisee..
BTW, Hivi taifa hili tutajenga saa ngapi kama tunashinda kwenye keyboard? just thinking loud!
Mjadala huu haujafungwa mbado?
you said it all mydia. ukianza kufikiri dhahabu zote zinavyochotwa, wanyapori wanavyoenda uarabuni, jinsi ambavyo utalala giza kwako na jinsi ambayo kila mtu anachukua chake mapema unaweza kufa siku si zako, kheri tubakie huku huku tupeane tipu za kujenga maisha yetu ya kawaida.ahaaa imebidi nicheke tu mana mie mwenyewe nina viporp kibao hapa nimekomalia hii ishu mana imenigusa kwa kweli....taifa linajengwa na kikwete bwana.....lol..hebu burudika ukifikiria kujenga hili taifaa...pooo utakehsa ndio mana mie hunikuti huko kwenye siasa cjui nini na nini...akuu kuna mambo unawezapata hamu ya kupindua nchi....
kwa taarifa yako sas mume wangu akitoka kazini hata bar haendi anawahi nyumbani tushirikiane kulea watoto na kusaidiana majukumu, .
irene ....mambo ya kumwita mwanamke akiolewa t (au hata baadae) mama "jina la mume" mbona ni mambo ya kizamaani
mimi siitwi mama fulani.....kwani NIMEMZAA?
Point tupu, yani hii ni crosscutting. kila mtu aplay part yake au siyo? tuko pamoja mkuuutakuta mwanamama amerudi kazini na mumewe na kweli wote wamechoka lakini sisi waafrika bado tunazidumisha mila na desturi zetu nzuri.Lazima mama ujifunge kibwebwe uende ukaangalie jikoni kuna nini.Angalia kitu cha kumfaa mumeo.hiyo ndio ndoa uonyeshe unamjali.Yeye naye yaani mume anaporudi nyumbani lazima aonyeshe anajali aangalie lipi la kumfanya naye aonekane anajali?kuna mengi ya kumsaidia mwenzake ili mwenzake asione kanakwamba anatumikishwa bali aonyeshe upendo kwa kuangalia mfano je mambo yote ya electronic yamekaa sawa? je nguo zetu zipo katika hali njema ama nyumba kwa ujumla je bomba,mifugo,bustani ,luninga,fridge au redio yaani awe mtu kiasi kuwa mwenzake anapohangaika kuangalia kila kitu kiko sawa na yeye vivyo hiyo.asingojee hadi apelekewe maji bafuni aonyeshe kuwa anaweza kufanya mwenyewe lakini mke kwa upendo labda akaona hapana ngoja nikufanyie au hata maid lakini mwanamke anapaswa kuchunga au kumlinda mume wake kwa kuwajibika.Sio lazima ufanye kila kitu lakini onyesha kusimamia na kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa tena kwa mapenzi makubwa kwa mumeo na yule maid.
umerudi na una watoto mama/baba wajibikeni wote na sio unarudi uko kwenye laptop na luninga hapana.ukifanya hivyo sasa unaacha mlango wako wazi na mwizi atakutembelea haraka.Baba atamtamani huyo bint au atawatamani wengine huko nje kumbe umeacha mlango wewe mwenyewe.mpende yule bint kama mwanao mjali na sio tu mshahara unaompa lakini wakati mwingine mletee zawadi ndogo ndogo hata kama baba atazileta mama wajibika wewe kuzigawa kwa yule maid,kila kitu mama uwajibike kwa bint na sio baba kuwa na mazoea na yule bint.Mpendezeshe bint na wewe usijisahau kwa vile una watoto kila kitu kiende kwa mpangilio.wamama wakisha zaa wengi mapenzi yao huyahamishia kwa watoto na hapo ndipo matatizo yanapoanza.lazima ubalance ujue kuwa mume ana sehemu yake na mtoto ana sehemu yake.ukiweza kubalance kila kitu utaiona ndoa tamu otherwise itakuwa chungu kama shubiri.
Point tupu, yani hii ni crosscutting. kila mtu aplay part yake au siyo? tuko pamoja mkuu
vyovyote vile, la msingi ni kwamba haendi bar kwishney.Najua kwa nini Mr. wako haendi au hapitii bar siku za kawaida hapo kuna vitu viwili mtoto mnae mlea amekua au ana kazi ngumu ya kukazia fizi za mtoto na kama meno yametoka basi anakazia meno ya mtoto hana mpango na vidosho vya kitaa.
vyovyote vile, la msingi ni kwamba haendi bar kwishney.
watumishi wanaotafuna kondoo hawa mi nawaogopa banaa.We kila mtu uko pamoja naye isipokuwa watumishi. Mwali utaenda motoni.
thanks ya nini tena mkuu au ndo unafunga mjadala kiaina? toa basi summary baada ya kukaa pembeni ukituangalia tunavyotaka kutoana macho.thanks
Hahhahahaaa............
kwa mwelekeo huo na kwa maneno hayo kama utamwambia mume wako ndoa haitadumu kabisaa... ama kama itaendelea kuwepo haitakuwa na amani hata chembe,
Mume atakuwa akiondoka leo anarudi kesho ilimradi siku ziende na kama si hivyo basi maisha yatakuwa kama jehanam ndogo.
wanamke mwerevu hujenga nyumba yake mwenyewe na mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe.
Na ndio maana Jaqline akiolewa na John kabla hawajapata mtoto ataitwa mama John na John ataitwa Mr John na sii baba Jaqline.
watumishi wanaotafuna kondoo hawa mi nawaogopa banaa.