Ndoa za siku hizi

Ndoa za siku hizi

naomba nipingane na post ya mj1 kwamba wanawake wanachangia budget!NEVER ON EARTH(for the african women,NEVER)

hee jamani!! ndio maana wanasema never say never...mimi mbona ni african woman, na mshahara wangu unaingia kwenye bajeti bila mikwaruzo!
 
sema wewe labda utasikika maana mi nshaonekana kimeo
 
Tataizo mila zilizo pitwa na wakati, kama una pesa zako, kwanini usiajiri house keeper na sheff wafanye kila kitu

Kazi baba na mama ni kuhakikisha nyumba ina endelea vizuri na wajibu wa mke na mume ni kuweka maelewano nakuridhishana kimapenzi huku wote wakiwa waletaji mahitaji muhimu ndani ya nyumba na kuhakikisha watoto wanalelewa vizuri kwa maadili mazuri na elimu nzuri .
 
Hujamwelewa nyamayao yeye hajakana kuwa hafui alikuwa anamshangaa mwanamke anayemwachia housegirl afue vyupi na boxers za mumewe.

at last nitalazimika kufanya ngono na beki-tatu kama ''AHSANTE KWA KUNIJALI''.huyu mwanamke atabak analia lia tu mara mumewe muhuni,mara hausigeli muhuni wakati yeye ndiye chanzo
 
hee jamani!! ndio maana wanasema never say never...mimi mbona ni african woman, na mshahara wangu unaingia kwenye bajeti bila mikwaruzo!

Dah wewe umenena lakini akina Nyamayao wao sera yao ni changu ni changu na chake ni Chetu sote hii sera inapasua kichwa
 
hee jamani!! ndio maana wanasema never say never...mimi mbona ni african woman, na mshahara wangu unaingia kwenye bajeti bila mikwaruzo!

mkuu Triplets,
chupi ya mumeo unafua au HUFUI?
 
jamani si akina baba wote ambao hawawajibiki, mbona mie nafanya kazi lkn my wife hafanyi kazi but room kwetu nafanya yafuatayo
1.Nafua pants zetu wote mara ya mwisho yeye kufua nadhani ni miezi km 4 imepita
2.Usafi wote wa kupiga deki na kufuta vumbi huwa nafanya mie, kusafisha choo na bafu nafanya mie
3. daily mie ndo natandika kitanda nakubadilisha mashuka
4. Akisuka rasta zake siku akitaka kufumua basi atakuja baba nani hii nifumue nywele huwezi amini room namfumua nywele ni vitu ambavyo nimevizoea

nna moyo sana wa kusaidia na hii imenijenga toka nikiwa home kwetu my late father alipenda sana usafi na alisisitiza sana kuwa msafi room basi ikanijenga nikawa siwezi kumwachia mtu mwingine afanye usafi wa pants zangu na hii ndo imenifanya mpaka leo nione ni kitu cha kawaida sana.
hii imenifanya niwe karibu sana na mke wangu huwa mpaka najiuliza km wanaume wengine wangekuwa hivi wangefaidi sana mapenzi ya wake zao ingawa wengi wanadhani eti mwanamke atakudharau lkn si hivyo. hii imefanya tuwe kama marafiki kwa kweli, hakuna kununiana nuniana kwa hovyo, wala visasi visivyo na maana hakuna siri kila atakachofanya ntaambiwa kwanza.
 
at last nitalazimika kufanya ngono na beki-tatu kama ''AHSANTE KWA KUNIJALI''.huyu mwanamke atabak analia lia tu mara mumewe muhuni,mara hausigeli muhuni wakati yeye ndiye chanzo
Mtu mzima hatishiwi nyau, and dont blame your wife
 
jamani si akina baba wote ambao hawawajibiki, mbona mie nafanya kazi lkn my wife hafanyi kazi but room kwetu nafanya yafuatayo
1.Nafua pants zetu wote mara ya mwisho yeye kufua nadhani ni miezi km 4 imepita
2.Usafi wote wa kupiga deki na kufuta vumbi huwa nafanya mie, kusafisha choo na bafu nafanya mie
3. daily mie ndo natandika kitanda nakubadilisha mashuka
4. Akisuka rasta zake siku akitaka kufumua basi atakuja baba nani hii nifumue nywele huwezi amini room namfumua nywele ni vitu ambavyo nimevizoea

nna moyo sana wa kusaidia na hii imenijenga toka nikiwa home kwetu my late father alipenda sana usafi na alisisitiza sana kuwa msafi room basi ikanijenga nikawa siwezi kumwachia mtu mwingine afanye usafi wa pants zangu na hii ndo imenifanya mpaka leo nione ni kitu cha kawaida sana.
hii imenifanya niwe karibu sana na mke wangu huwa mpaka najiuliza km wanaume wengine wangekuwa hivi wangefaidi sana mapenzi ya wake zao ingawa wengi wanadhani eti mwanamke atakudharau lkn si hivyo. hii imefanya tuwe kama marafiki kwa kweli, hakuna kununiana nuniana kwa hovyo, wala visasi visivyo na maana hakuna siri kila atakachofanya ntaambiwa kwanza.

NAONA UMEINGILIWA MKUU!fanya kitu kimoja nikusaidie,ni-pm nikupe namba zangu ili tuongee nikuunganishe na mganga-wa-kienyeji yupo mvuti pale akusaidie,maanake mkeo amekufunga kwa madawa makali sana!what the hell are you going through!agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Hawa ndo wanaume tunaowahitaji katika jamii, unaona sasa kama ingekuwa kule kanisani kwetu tunaita huu ushuhuda. hebu wape kichen pat hao wanaume wenzio jinsi ndoa yako inavyoshamiri kwa ajili ya kujitoa kwa kufanya vitu vidogo kama hivyo. sio kudhani kuwa wao ni vidume na kusaidia home ni dharau. kama vile namuona bibie, what else does she need from a man?
 
NAONA UMEINGILIWA MKUU!fanya kitu kimoja nikusaidie,ni-pm nikupe namba zangu ili tuongee nikuunganishe na mganga-wa-kienyeji yupo mvuti pale akusaidie,maanake mkeo amekufunga kwa madawa makali sana!what the hell are you going through!agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Usi-corrupt mind ya mwezio, kama wewe hufanyi kwako acha mwenzio aboreshe ndoa yake
 
You are lucky kama yako ni yako, mimi yangu ni yetu na yake vilevile yetu though i feel i am not supposed to contribute and then niwe maid. kama ninacontribute that means i deserve the same treatment. so atafua, atanyoosha, atasaidia kazi zote coz we decided to be equal partners. thats why sikubaliani na hizi story za mfulie baba, mpige mswaki baba, as a general rule, no, labda nifanye out of love tu na siyo general rule. na ndo maana hawezi kunifukuza na kunibebesha rambo kama fidel anayosema, labda aondoke yeye akichoka coz i have as much right to stay as he does

mie hanibebeshi rambo japo si contribute,ataniacha mie na wanangu hapo yeye akaanze lyfe yake! zangu mie nitapita town nione shati zuri, sox nimnunulie, zaidi ya hapo hapana.
 
naona mchungaji karudi,
vipi umeme ulikatika amerika?
 
Back
Top Bottom