Ndoa za siku hizi

Ndoa za siku hizi

wanawake wa siku hizi wana-make pesa kuliko hata hao wanaume! mnatarajia atoke kazini aje ayafanye yote hayo?.......

mwanamme kama anataka afanyiwe yote basi na yeye, afanye yote kama head of family

bibie akitaka kukunwa upele amkune
 
I hate this mentality kwamba mume afanyiwe, mume afanyiwe, halafu mbaya zaidi ni sis wanawake ndo tunapreach huu ujinga, sisemi kwamba maid hatakiwi kusaidiwa kazi no, nachosema hata baba asaidie kazi inapobidi. na kwa taarifa yako pretty, hawa viumbe waitwao wanaume wakitaka kulala na maids, barmaids, vichaa hata mama yako au sister wako, wanafanya tu, tena bila kujali kwamba huwa una amka saa kumi kumchemshia maji , kumtayarishia breakfast na kumnyosheea nguo. so i would advise you to find another way of thinking na siyo eti nikimfanyia kila kitu ndo hatatembea na housemaid.
We endelea kumpumbaza mwenzako tuu,kwa mtaji huo utabaki kuwa pimped to the infinity,usitegemee kudumu ndoani!!!
 
wanawake wa siku hizi wana-make pesa kuliko hata hao wanaume! mnatarajia atoke kazini aje ayafanye yote hayo?.......

mwanamme kama anataka afanyiwe yote basi na yeye, afanye yote kama head of family

bibie akitaka kukunwa upele amkune

Hebu jitambulishe kwanza jinsia yako ili tutoe coments zetu kwa kujiamini zaidi.
 
mwanamme ukimfanyia mfanya yye kama malaika asoweza kuogeza hata kikombe chake, ndio anaondoa thamani yako mwanamke

lazima kabla ya ndoa umpe somo ajue kaa nyote ni equal, na anafaa kutumika pale anapoweza na kukutumikia pia
 
mimi ni a lady right left and center .........@crispin
 
We endelea kumpumbaza mwenzako tuu,kwa mtaji huo utabaki kuwa pimped to the infinity,usitegemee kudumu ndoani!!!
Halooo, ndoa yangu iko salama na salimini kwa kuwa nilipata mume anayejua maana ya usawa na ananijali mimi kama mke ndo maana anasaidia, na ndo ukweli wenyewe. Halafu dua za kuku hazimpati mwewe.
Kama mkeo umemfanya kama maid akufanyie kila kitu kama huna mikono, thats your problem n hers too, thats yout style and i have mine in my family that works quite ok, so get life.
Halafu i dont care if i will need to live alone coz i can do that too, kwa ufupi sitetemeki na kufanya visivyofanywa kisa naogopa kuachwa, kutishia kuachwa kawatishie wanaodhani hakuna maisha usipokuwa na mume ndani ya nyumba, kwangu mimi hata thiogopi. pole kaka/dada.
 
mwanamme ukimfanyia mfanya yye kama malaika asoweza kuogeza hata kikombe chake, ndio anaondoa thamani yako mwanamke

lazima kabla ya ndoa umpe somo ajue kaa nyote ni equal, na anafaa kutumika pale anapoweza na kukutumikia pia

Sawa, sasa wewe ni he au she?
 
Halooo, ndoa yangu iko salama na salimini kwa kuwa nilipata mume anayejua maana ya usawa na ananijali mimi kama mke ndo maana anasaidia, na ndo ukweli wenyewe. Halafu dua za kuku hazimpati mwewe.
Kama mkeo umemfanya kama maid akufanyie kila kitu kama huna mikono, thats your problem n hers too, thats yout style and i have mine in my family that works quite ok, so get life.
Halafu i dont care if i will need to live alone coz i can do that too, kwa ufupi sitetemeki na kufanya visivyofanywa kisa naogopa kuachwa, kutishia kuachwa kawatishie wanaodhani hakuna maisha usipokuwa na mume ndani ya nyumba, kwangu mimi hata thiogopi. pole kaka/dada.

Umekasirika? Pole pole twahabarishana tu! Pokea busu langu ucheke!
 
jamani ee its lunchtime, btw kuna mtu anataka ushauri wa haraka kule kwenye jukwaa la utambulisho mada imeandikwa nani alaumiwe, nadhani mods wailete huku kwenye mahusiano, badae kidogo, mi huwa sifanyi diet ati.
 
Halooo, ndoa yangu iko salama na salimini kwa kuwa nilipata mume anayejua maana ya usawa na ananijali mimi kama mke ndo maana anasaidia, na ndo ukweli wenyewe. Halafu dua za kuku hazimpati mwewe.
Kama mkeo umemfanya kama maid akufanyie kila kitu kama huna mikono, thats your problem n hers too, thats yout style and i have mine in my family that works quite ok, so get life.
Halafu i dont care if i will need to live alone coz i can do that too, kwa ufupi sitetemeki na kufanya visivyofanywa kisa naogopa kuachwa, kutishia kuachwa kawatishie wanaodhani hakuna maisha usipokuwa na mume ndani ya nyumba, kwangu mimi hata thiogopi. pole kaka/dada.

No worry darling. Sasa akikuletea za kuleta siku moja usisahau kuniPM basi.
 
Umekasirika? Pole pole twahabarishana tu! Pokea busu langu ucheke!
no sijakasirika, wishful thinking ya mtu haiwezezi kuniharibia siku masa. Si unajua tena if wishes were horses.........................
malizia bas masa
 
Fidel nitamsafisha maana hakuna jinsi ama sivyo nitalala wapi na shughuli ya mtu mzima si unajua khabari yake?!

Hivi vya hivi ndo wanaviitaga for better for worse au? nyamayao hebu nisaidie

lakini kesho yake ataipata fresh, nitamsema bila nukta wala koma....na acrudie tena milele.
 
bila ya shaka nimeolewa ndio nikachangia kwenye mada hii
 
hahaah Nyamayao mimi huwa najiuliza sana kama ni mkeo wawezaje kulala naye kitanda kimoja wakati hamuelewani? utawezaje kumega wakati mna beef? sasa ndo naanza kujua kwa nini wengi wao utasikia ooh mamsap kalala tu kama gogo hajishughulishi kumbe unamuudhi mwenyewe au unamchosha mwenyewe halafu unategemea baadaye akufurahie, na yeye anaamua tu kujilaza umalize shida zako basi alale zake, wewe ukitoka hapo unaanza oooh mbona hunichangamkii mara ooh una mwanaume mwingine nje kumbe kidudu mtu mwenyewe,
 
Mnajua msitutafsiri vibaya kinachotukera hapa ni kuwafanyia hayo yote pasipo kuwa appreciated. Hebu niambieni kina dada hata kama unafanya kazi zote zinazofaa kufanywa na mke jamaa akirudi hata akubusu kikiss cha uwongo shavuni akwambie 'Thanx darling for being my wife, I am very proud of you mylove, the way you handle me, you care for me e.t.c it makes me feel complete' kweli utajiona mtumwa kweli?

Appreciate, appreciate and appreciate!.

Nyie wenyewe fikirini mkiwa faragha na wenzi wenu halafu haguni wala hatoi kisauti pamoja na kwamba umejipinda hadi kigoma umekwenda........kisha mkimaliza huyo anyanyuke bafuni ajiswafi arudi bila neno alale- utajisikiaje
 
hahaah Nyamayao mimi huwa najiuliza sana kama ni mkeo wawezaje kulala naye kitanda kimoja wakati hamuelewani? utawezaje kumega wakati mna beef? sasa ndo naanza kujua kwa nini wengi wao utasikia ooh mamsap kalala tu kama gogo hajishughulishi kumbe unamuudhi mwenyewe au unamchosha mwenyewe halafu unategemea baadaye akufurahie, na yeye anaamua tu kujilaza umalize shida zako basi alale zake, wewe ukitoka hapo unaanza oooh mbona hunichangamkii mara ooh una mwanaume mwingine nje kumbe kidudu mtu mwenyewe,

sema na wewe ma bro, limeejitokea huko limekuja na mavurugu kibao bado linataka chakula cha ucku...haaa mie ndio hata mguu cnyanyui cwezi kujiua kisa kumridhisha mwenzangu ambae anaonyesha kutonijali....mr analielewa hili hata kama tumekwaruzana basi ataanziaaaa mbaliiii mpaka afike...msamaha kibao.
 
We hujakutana na simba wa yuda. Limeshafika limjamaa na stiringo imekasirika afu umnyime misosi? Hahaha! Hiyo red imenifanya nichomoe shati. Nimesahau miwani yangu, ningeivaa sijui ningesoma nini hapo.
 
Back
Top Bottom