Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
usijali fidel ukimpata tu tangaza humu JF tutakuchangia
Hehehe ngoja niendelee na harakati za kutafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usijali fidel ukimpata tu tangaza humu JF tutakuchangia
na yule aliyedai anaujauzito wako mmefikia wapi?Hehehe ngoja niendelee na harakati za kutafuta
by the way masa, hivi kila siku unavyochomwa na hiyo miba hapo mbele si unaumia? unawezakuta nanihini yot imeshatobokatoboka
na yule aliyedai anaujauzito wako mmefikia wapi?
we kalee mwanao ebo! kumbe unakimbia majukumu pamoja na upimbi wote huo?Huyu mama aliniambia tu atajua yeye mwenyewe la kufanya na mpaka sasa au tokea kipindi hicho sina mawasiliano nae
Wangu huwa ananifumua akisaidiana na watoto....ikishafikia mkeo anakuuliza 'we baba nanihii, yale masufuria uliyoyakosha ushayapanga kabatini?!"... kajipimishe sketi tu uvae...
Kazi za nyumbani ni kazi za mama, ndio maana tunaoa tupate 'jiko'!... kusaidia kupo, sio lazima...
Ebo! ... yaani kabisa umelegeza kidevu unamfumua mkeo rasta halafu unaona kawaida tu? No way bana, get a life!
kesho keshokutwa Mkeo huyo huyo hachelewi kukushikisha pochi mitaani na shughulini!
Ebo! ... yaani kabisa umelegeza kidevu unamfumua mkeo rasta halafu unaona kawaida tu? No way bana, get a life!
...ikishafikia mkeo anakuuliza 'we baba nanihii, yale masufuria uliyoyakosha ushayapanga kabatini?!"... kajipimishe sketi tu uvae...
Kazi za nyumbani ni kazi za mama, ndio maana tunaoa tupate 'jiko'!... kusaidia kupo, sio lazima...
Ebo! ... yaani kabisa umelegeza kidevu unamfumua mkeo rasta halafu unaona kawaida tu? No way bana, get a life!
kesho keshokutwa Mkeo huyo huyo hachelewi kukushikisha pochi mitaani na shughulini!
Ebo! ... yaani kabisa umelegeza kidevu unamfumua mkeo rasta halafu unaona kawaida tu? No way bana, get a life!
QUOTE]
Binamu hapa umesema ngoja nikugonge thanx
Wangu huwa ananifumua akisaidiana na watoto.
Wangu huwa ananifumua akisaidiana na watoto.
JUzi nimepita mahali jamani nilimuona babu kashika tambala anadeki kwenye ngazi za kwao huku bibi yaani mkewe na yeye kainama anadeki kibaraza.Mkuu Mosquito umenena wewe na ndevu zako ushike tambala uanze kuzungusha kiuno una deki eti kazi kusaidiana sijui inakuja hiyo?
babu eeh, siku hizi kuna mopper ina handle ndefu tu, no excuse mazee, btw. mlipokuwa hamjaoa mbona mlikuwa mnainama kupiga deki? kwani ulikabidhiwa mke au maid?Mkuu Mosquito umenena wewe na ndevu zako ushike tambala uanze kuzungusha kiuno una deki eti kazi kusaidiana sijui inakuja hiyo?
si unaona sas yani inapendeza kweli, wawili hawa watakuwa mwili mmoja ,yani watasaidiana katika shida na raha, na wataambatana kila waendako kama samaki na maji. gud exampleJUzi nimepita mahali jamani nilimuona babu kashika tambala anadeki kwenye ngazi za kwao huku bibi yaani mkewe na yeye kainama anadeki kibaraza.
Fidel ukioa mkeo akisuka Rasta,zikichoka hutamsaidia kufumua?Hahahaha si n'chezo ama kweli inategemea n'tu na n'tu kha!
Fidel ukioa mkeo akisuka Rasta,zikichoka hutamsaidia kufumua?
JUzi nimepita mahali jamani nilimuona babu kashika tambala anadeki kwenye ngazi za kwao huku bibi yaani mkewe na yeye kainama anadeki kibaraza.
kwa wake zenu wa ukweli ambao wako na nyie kwenye shida na raha uwe nazo au yfiliseke mnajidai vidume na kuwasaidia hamtaki na wakati mkienda huko kwa small houses hata chupi mnafua, sasa nani mjinga hapa? jengeni kwenu kwa upendo acheni udume usokua na manufaa....ikishafikia mkeo anakuuliza 'we baba nanihii, yale masufuria uliyoyakosha ushayapanga kabatini?!"... kajipimishe sketi tu uvae...