Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna kitu kinachonishangaza kuhususu hizi ndoa za mke zaidi ya mmoja. je wenye wake wengi wameoa hivyo kwasababu ya tamaa? Au wana wasaidia wanawake ambao bado hawajapata mme? Au ni utajiri ndo unawasumbua? naomba jibu
Wengine hawana matatizo ila tu ni kuwasaidia wale wanawake maana dini inaagiza, kama unataka kumsaidia mtu vizuri kama ni mwanamke nawe ni mwanamme basi muoe ili umsaidie vizuri.

hivi jamani hizi ndoa za wake wengi haziwezi kuwa zinachangia maambukizi ya ukimwi kweli? maana mume si ana do kavu kavu kwa wakeze wote!! kazi kweli kweli
Maria..wewe ni mke wa ngapi shostito?Kila mke ana upishi wake wewe waweza kula wali maharage kila siku :twitch::twitch:
Ni tamaa tu hakuna kitu kingine.
Maria..leo umeamua kuwatega ehh? Shemeji kakuona ulipotoka home?