ndoa za wake wengi

ndoa za wake wengi

Ngomo

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2009
Posts
200
Reaction score
95
kuna kitu kinachonishangaza kuhususu hizi ndoa za mke zaidi ya mmoja. je wenye wake wengi wameoa hivyo kwasababu ya tamaa? Au wana wasaidia wanawake ambao bado hawajapata mme? Au ni utajiri ndo unawasumbua? naomba jibu
 
Mkuu ni swali ambalo mimi pia huwa najiuliza mara nyingi, hebu tuwasikilizie wadau watupe nondo..:roll:
 
kama kuna mwana JF humu mitala angetusaidia
 
kuna kitu kinachonishangaza kuhususu hizi ndoa za mke zaidi ya mmoja. je wenye wake wengi wameoa hivyo kwasababu ya tamaa? Au wana wasaidia wanawake ambao bado hawajapata mme? Au ni utajiri ndo unawasumbua? naomba jibu

Kitanda usicholalia, huwezi jua kunguni wake. Jaribu nawe utapata jibu la kwa nini unafanya infide.
 
Majibu yako mengi,mi naowajua....wengine mke ni mgonjwa.wengine wanapenda familia kubwa na wengine matatizo kwenye ndoa ya kwanza
 
Wengine hawana matatizo ila tu ni kuwasaidia wale wanawake maana dini inaagiza, kama unataka kumsaidia mtu vizuri kama ni mwanamke nawe ni mwanamme basi muoe ili umsaidie vizuri.
 
sasa kama ni mgonjwa si ukamtibu ,kwa maana hiyo mwanaume akiumwa mwanamke aoelewe na mme mwingine?
 
Wengine hawana matatizo ila tu ni kuwasaidia wale wanawake maana dini inaagiza, kama unataka kumsaidia mtu vizuri kama ni mwanamke nawe ni mwanamme basi muoe ili umsaidie vizuri.

Hivi hapo utakuwa unamsaidia mwanamke au anakusaidia wewe mwanamume!!!!:twitch:
 
hivi jamani hizi ndoa za wake wengi haziwezi kuwa zinachangia maambukizi ya ukimwi kweli? maana mume si ana do kavu kavu kwa wakeze wote!! kazi kweli kweli
 
kuna kitu kinachonishangaza kuhususu hizi ndoa za mke zaidi ya mmoja. je wenye wake wengi wameoa hivyo kwasababu ya tamaa? Au wana wasaidia wanawake ambao bado hawajapata mme? Au ni utajiri ndo unawasumbua? naomba jibu

Ngomo,
Mfalme wa Swaziland anaendeleza utamaduni na mila za kwao.
Rais wa Afrika Kusini naye anapenda utamaduni wao.
Ali Mwinyi, Bilali wao ni ruksa kulingana na mafundisho ya dini yao.
Katika mila za Kiafrika ndoa za wake wengi limekuwa ni mazoea.
Iraq wao wanapendekeza polygamy kama njia ya kuondoa tatizo la vizuka ambao wapo kama milioni moja waliopoteza waume wao kutokana na vita. Pitia hii link
https://www.jamiiforums.com/habari-...105997-ungetoa-ushauri-gani-nini-wafanye.html
Waliokuwa hawaoi wake wengi ,hufuga vimada au huwa na "marafiki" wengi wa kustarehe nao, huenda ni hizo tamaa za ngono au ndio "vijisenti" vinawasumbua.

Hata hivyo, ndoa hizi au kuwa na uhusiano wa kingono na zaidi ya mtu mmoja katika mazingira haya ya maradhi ya kaswende na ukimwi ni mtihani mzito.
Ali mwinyi aliwahi kusema,"ugonjwa umeingia pahali pabaya" Na kweli ugojwa umeingia mahali patamu.... Kama ushakua au ushabaleghe basi unafahamu nini kakusudia!!!!
Remmy aliimba "kifo hakina huruma" lakini utateseka kwanza na jamii ikikujua umeukwaa basi ni kasheshe!
 
Kila mke ana upishi wake wewe waweza kula wali maharage kila siku :twitch::twitch:
 
Wengine hawana matatizo ila tu ni kuwasaidia wale wanawake maana dini inaagiza, kama unataka kumsaidia mtu vizuri kama ni mwanamke nawe ni mwanamme basi muoe ili umsaidie vizuri.

Hivi.... wanaume tu ndio wana uwezo kusaidia ehhh? Je mwanamke akitama kumsaidia mwanaume inakuwaje na yeye ana mume?

hivi jamani hizi ndoa za wake wengi haziwezi kuwa zinachangia maambukizi ya ukimwi kweli? maana mume si ana do kavu kavu kwa wakeze wote!! kazi kweli kweli

hapo sasa!
Kila mke ana upishi wake wewe waweza kula wali maharage kila siku :twitch::twitch:
Maria..wewe ni mke wa ngapi shostito?
Ni tamaa tu hakuna kitu kingine.

Kutamani nako kupo!
 
Hahaha hahah Tausi my dia mie mpk kifo kitutenganishe :coffee:
 
Du huku kijijini kwetu kwa Wanyambwa ni mtindo kuwa na wake wengi hasa km una ng'ombe wengi, lakini watoto wake wakubwa huyo tajiri ndio wanaokula mzigo km Mzee ana zamu ya nyumba ingine.
Wale watoto wakubwa wakubwa wanawarudi wale wake wapya wageni mtoto akizaliwa halali ya mzee
 
Back
Top Bottom