'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Mkuu hayo mambo yapo kitambo tu tena karibia vyuo vyote nchini na hii inatokana na vijana wengi inakua ndio mara yao ya kwanza kuishi maisha ya uhuru kujiamulia.
Tena hasa watoto wa kishua waliosoma boarding seminary ndio wanawehuka kabsaa.
 
Halafu baadae unakuta boya moja linajisifu kuwa limeoa msomi wa chuo kikuu, kutokujua kaoa kahaba mstaafu.
Hii fact ndio inafurahisha sana, kwamba shetani ni proffesional tapeli, ukijitia unaangalia vigezo vya usomi na urembo umemaliza inakula kwako,
 
Tatizo mkiona wanafunzi 3 au 10 wanaishi pamoja mnagenerelize tu, sema wengine wamezoea kuona tangu wakiwa Olevel shule za kata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…