'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Wazazi wakiona huu uzi👇😁😁😁
20210503_162333.jpg
 
Mkuu hayo mambo yapo kitambo tu tena karibia vyuo vyote nchini na hii inatokana na vijana wengi inakua ndio mara yao ya kwanza kuishi maisha ya uhuru kujiamulia.
Tena hasa watoto wa kishua waliosoma boarding seminary ndio wanawehuka kabsaa.
 
Halafu baadae unakuta boya moja linajisifu kuwa limeoa msomi wa chuo kikuu, kutokujua kaoa kahaba mstaafu.
Hii fact ndio inafurahisha sana, kwamba shetani ni proffesional tapeli, ukijitia unaangalia vigezo vya usomi na urembo umemaliza inakula kwako,
 
Kumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni. Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.
***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.

View attachment 2048638
Tatizo mkiona wanafunzi 3 au 10 wanaishi pamoja mnagenerelize tu, sema wengine wamezoea kuona tangu wakiwa Olevel shule za kata
 
Back
Top Bottom