'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Mkuu acha wabutuane kwani wamevunja sheria gani kuna Watu wanaishi kwakuuza Ali kasusu na vumbi la Congo unataka wale wapi
 
Lakini mbona vyuo vya Kitanzania bado vinafanya vizuri au inabidi tuwe kama wenzetu?

Aren't you the same people who preach freedom every day?( acha tu vijana wafanye mambo yao maana ndio uchaguzi wameona ni bora kwa sasa)
 
Wamebuni kuingia chumvini tukawaangalia tu.
Wakabuni Mambo ya 0713 kimzaha mzaha mpaka imekua kwenye menu.
Kumbe wamebuni Hadi kuoana wakiwa vyuoni?
Mambo haya miaka yetu hayakuwepo..
 
America, US? Chuo gani?
 
Unalo wazo zuri Ila kwa uelewa wangu nimeishi hizo maeneo.
Ukimpeleka mtoto wako bila ya wewe mwenyewe kuwepo hapo ujue umempoteza kwani maisha ni tofauti na hasa akiweza kupata kibarua cha muda wakati anasoma.
Vi ginevyo awe ashapevukaa hadi chuo ndio anaenda kuendelea.
Hata kama una rafiki au ndugu maisha ni tofauti.

Kubwa zaidi hadi upate hiyo usajili kibali ya chuo ni mkakati mkubwa.
Kwa shule za awali hadi sekondari hawachukui wanafunzi toka nje labda uwe mhamiaji halali wawe huko.
Tusidanganyane.
Kubwa hap ni Tanzania wizara husika kubadili hizi mitaala na kuwajibika.

Swala la KULOWEKANA lipo popote pale.[emoji849]
 
Ninaposema tunafanya vyema sikuwa na matarajio kwamba utasema tujilinganishe na wenzetu(ndio,kama inabidi kufanyika basi tutafanya ushindani) lakini sisi tunakuwa bora pale ushindani ukiwekwa pembeni.

Unaposema sisi si bora kama Kenya au whatever place, nadhani unaongelea kipindi hiki(I'm not sure if this will be true for a lifetime).Maana yangu ni kwamba bado tuna mda tunaweza badili hii story unayosema hapa.

Kuhusu Wamarekani kuwa smart au kufanya mambo yao katika namna iliyokupendeza nadhani it is the context(actors,time,and the list goes on)that backs them up.

Mwisho kabisa kuhusu wewe kuchagua watoto wako wasome katika mazingira nje ya taifa lako nadhani ni jambo la uchaguzi,which is why I've said something like freedom of choice before this comment
 
Halafu baadae unakuta boya moja linajisifu kuwa limeoa msomi wa chuo kikuu, kutokujua kaoa kahaba mstaafu.

Baba yako alioa msomi kutoka chuo kikuu kipi?
Na kwa mtazamo wako ulivyo ni kwamba wale ambao si wasomi wa chuo kikuu ni kwamba wao hawastaafu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…