'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Kumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni. Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.
***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.

View attachment 2048638
Mkuu acha wabutuane kwani wamevunja sheria gani kuna Watu wanaishi kwakuuza Ali kasusu na vumbi la Congo unataka wale wapi
 
Mkuu

Nilisoma UDSM mid 2000's na nilikaa Hall 2 na Hall5 miaka yote minne...

Nimekuja huku America ndio nikajua huku duniani watu wapo serious na elimu na kazi kwa ujumla

Nikaelewa kwanini elimu ya America ndio the best na most expensive in the world

Ndio najua kwanini all the best brains come from all over the world and come to compete here

Sio naongea kwa hasira mkuu...Mimi wanangu hawatakaa wakanyage High School au College Tanzania...

Ninajinyima ninakusanya kila thumni nitajitahidi kwakweli wasisome huu ujinga TZ...

Ni kama wazazi wanavyokwepa shule za Kanyumba kwa sasa....College za Tanzania ni za kukwepa kabisa kama ukoma

Nitauza viwanja vyangu nitavunja hata BOT kabisa....aidha nife
Lakini mbona vyuo vya Kitanzania bado vinafanya vizuri au inabidi tuwe kama wenzetu?

Aren't you the same people who preach freedom every day?( acha tu vijana wafanye mambo yao maana ndio uchaguzi wameona ni bora kwa sasa)
 
Wamebuni kuingia chumvini tukawaangalia tu.
Wakabuni Mambo ya 0713 kimzaha mzaha mpaka imekua kwenye menu.
Kumbe wamebuni Hadi kuoana wakiwa vyuoni?
Mambo haya miaka yetu hayakuwepo..
 
Freedom ya kujiumiza mwenyewe na wengine sio freedom my dear

Vyuo vya Tanzania vinafanya vizuri?

Compared to who?

Ni bora umsomeshe Kenya au Uganda ni best education na cheaper...

Ile miaka ya wazazi walikua wanapeleka watoto Kenya na Uganda kusoma primary inarudi kwenye issue ya vyuo sasa

Mimi nimesoma UDSM,ilikua ya 7 Africa now ni ya 26 Kenya ni ya 6..tunazidi kwenda chini

Competition ya elimu itafika pahala wazazi watakua hawataki peleka tena watoto UDSM....mimi hela yangu yote nitasomesha watoto wangu Ulaya,natembea na ndala for this

I cant allow this nonsense....

Nimesoma America postgrad,aisee acha tu,ukisikia watu wapo serious na hiki kitu kinaitwa Elimu my friend,these motherfvckers mean it,kuanzia conduct,timetable,practicals,research,journals,paper writing,presentantions,etc no shortcuts ndugu

I wish ningeanzia high school huku
America, US? Chuo gani?
 
Ndio maana nasema

Kama serikali imeamua kukiharibu hicho chuo na vingine,tunakua nyuma ya Kenya na Uganda,sasa hivi Rwanda wanatupita,basi kila mwananchi achukue hatua mkononi mwake yeye kama yeye

Ndio nikatoa mfano,kama una mashamba yako na mtoto wako unamwamini unauza vipande kadhaa unamsomesha Ulaya walao atoke na cha maana

Au kama unajiweza kifedha kikwelikweli unampeleka shule za maana America huko akapambane na wajanja duniani huko

Ile miaka ya kuiamini UDSM ishaisha...sasa hivi ni patapotea mkuu
Unalo wazo zuri Ila kwa uelewa wangu nimeishi hizo maeneo.
Ukimpeleka mtoto wako bila ya wewe mwenyewe kuwepo hapo ujue umempoteza kwani maisha ni tofauti na hasa akiweza kupata kibarua cha muda wakati anasoma.
Vi ginevyo awe ashapevukaa hadi chuo ndio anaenda kuendelea.
Hata kama una rafiki au ndugu maisha ni tofauti.

Kubwa zaidi hadi upate hiyo usajili kibali ya chuo ni mkakati mkubwa.
Kwa shule za awali hadi sekondari hawachukui wanafunzi toka nje labda uwe mhamiaji halali wawe huko.
Tusidanganyane.
Kubwa hap ni Tanzania wizara husika kubadili hizi mitaala na kuwajibika.

Swala la KULOWEKANA lipo popote pale.[emoji849]
 
Freedom ya kujiumiza mwenyewe na wengine sio freedom my dear

Vyuo vya Tanzania vinafanya vizuri?

Compared to who?

Ni bora umsomeshe Kenya au Uganda ni best education na cheaper...

Ile miaka ya wazazi walikua wanapeleka watoto Kenya na Uganda kusoma primary inarudi kwenye issue ya vyuo sasa

Mimi nimesoma UDSM,ilikua ya 7 Africa now ni ya 26 Kenya ni ya 6..tunazidi kwenda chini

Competition ya elimu itafika pahala wazazi watakua hawataki peleka tena watoto UDSM....mimi hela yangu yote nitasomesha watoto wangu Ulaya,natembea na ndala for this

I cant allow this nonsense....

Nimesoma America postgrad,aisee acha tu,ukisikia watu wapo serious na hiki kitu kinaitwa Elimu my friend,these motherfvckers mean it,kuanzia conduct,timetable,practicals,research,journals,paper writing,presentantions,etc no shortcuts ndugu

I wish ningeanzia high school huku
Ninaposema tunafanya vyema sikuwa na matarajio kwamba utasema tujilinganishe na wenzetu(ndio,kama inabidi kufanyika basi tutafanya ushindani) lakini sisi tunakuwa bora pale ushindani ukiwekwa pembeni.

Unaposema sisi si bora kama Kenya au whatever place, nadhani unaongelea kipindi hiki(I'm not sure if this will be true for a lifetime).Maana yangu ni kwamba bado tuna mda tunaweza badili hii story unayosema hapa.

Kuhusu Wamarekani kuwa smart au kufanya mambo yao katika namna iliyokupendeza nadhani it is the context(actors,time,and the list goes on)that backs them up.

Mwisho kabisa kuhusu wewe kuchagua watoto wako wasome katika mazingira nje ya taifa lako nadhani ni jambo la uchaguzi,which is why I've said something like freedom of choice before this comment
 
Halafu baadae unakuta boya moja linajisifu kuwa limeoa msomi wa chuo kikuu, kutokujua kaoa kahaba mstaafu.

Baba yako alioa msomi kutoka chuo kikuu kipi?
Na kwa mtazamo wako ulivyo ni kwamba wale ambao si wasomi wa chuo kikuu ni kwamba wao hawastaafu!
 
Back
Top Bottom