Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Hii sio ligi. Nimesema wote watatu Wana matatizo. Laiti mgefanyika washauri wema kwao ingekuwa heri sana na tungewapongeza.Inakuwaje mwanamke awe tatizo kuzidi ama kulingana na yule anaemwingilia?
Basha kumjua sio rahisi laiti tungewajua tungewaanika hadharani na wakajulikana upesi