Ndoa zimetengeneza vichaa wengi sana

Ndoa zimetengeneza vichaa wengi sana

Ty
 

Attachments

  • 1729102041367.jpg
    1729102041367.jpg
    293.5 KB · Views: 3
Ty
 

Attachments

  • 1729102134619.jpg
    1729102134619.jpg
    327.9 KB · Views: 2
Ty2
 

Attachments

  • 1729102185154.jpg
    1729102185154.jpg
    369.1 KB · Views: 3
Kaziikazii
 

Attachments

  • 1729102237491.jpg
    1729102237491.jpg
    95.7 KB · Views: 3
UKITAKA KUKAMATA SAMAKI WAKUBWA (KAMA PAPA) USIENDE KUVUA KWENYE MITO MIDOGO NA VIDIMBWI WAFUATE WALIPO KWENYE BAHARI NA MAZIWA MAKUBWA.

Maana yake ni hii:
1. Kama unataka watu wakukupa Connection na michongo mikubwa ya pesa Nenda walipo, huwezi kukutana na hawa watu kwenye mazingira ya Hovyo.

2. Badilisha aina ya watu unaotumia nao muda Mwingi kama unaona hawakupi unachokitaka kumbuka hivyo ulivyo sasa ni matokeo ya watu wanao kuzunguka kwenye maisha yako ya kila siku.

3. Tafuta watu mtakao endana kimawazo, wenye ujuzi na uzoefu wa michongo (fursa) yenye pesa nyingi au mafanikio fulani unayo yataka, Huwezi kua na Mawazo yakumiliki Magari na Majumba Lakini Cycle yako Mawazo yao ni Kumiliki Baiskeli.
 
ALIYEKUWA ANAKUPENDA SANA AKIKUTOA MOYONI MWAKE DHARAU YAKE SIYA NCHI HII

Moyo ukichoka kubembeleza mapenzi kwa mtu basi huyo mtu huonekana wa kawaida mno

Kuna wakati anatamani hata usimtafute ila kwasababu si kila mtu anaweza kumwambia mtu asimtafute basi atakuwa anakujibu akijisikia au ataongea na wewe kawaida ili ujiongeze. Wewe ndiye utakuwa una jukumu la kuanzisha maongezi na akiona huna cha maana anakuambia yuko busy anakukatia simu

Kuna watu wakati tunaowapenda watu fulani tunajaribu kuwaonesha upendo wetu mkubwa wanatudharau na kutupuuza. Tunajaribu tena na tena kuwaonesha upendo ila wanaendelea kutuchukulia poa. Mwisho moyo unakinai na kungeuka maana moyo ukingeuka una tabia ya kcchukia yule mtu aliyemuumiza kihisia sana

Kwasababu ulimpuuza na ukamnyanyasa kihisia akateseka kwa ajili yako. Sasa kaanza maisha mapya wala hakuwazi tena hizo simu au sms zako unazomtumia anaziona kero tu.

Wakati mwingine hajibu hizo sms za baby, mke, mume wangu nk kwasababu anaona hayo majina mazuri kwake ni kero hustahili kumuita hivyo. Ndio maana unamuita mke/mume wangu yeye anakujibu kitu kingine kabisa mfano UNAENDELEAJE. Wakati mwingine unajipigisha simu na kumjali wala hazungumzi sana zaidi kukuitikia tu au anakuambia baadaye ana kazi au anataka kulala kwasababu HUYO si wa zamani huyo ni mpya usiyemjua.
 
Ndoa yako inaingia migogoro mnashindwana na mkeo anaamua kuondoka lakini ukweli ni kwamba hukutaka aondoke,lkn ulipoanza kuhoji kana kwamba anachelewa Kurudi ndani unahisi ameanza kujihusisha na wanaume wengine,akapata sababu ya kuondoka huku akijisemea

"familia nalisha mwenyewe wewe huna kazi unategemea nitafute halafu na makelele juu!!

Anaamua kuwaita watoto wote watatu.....

Akisema twendeni....unamwita mkeo kwasababu unampenda unamwambia sikua na nia mbaya...kama MWANAUME Lazima nihoji,hebu usiondoke tuyamalize pls!

mke anakukazia anakwambia sitaki Mimi naondoka!

Unamuuliza mtoto mkubwa "Gift ,unaniacha nawewe?" mwanao kipenzi gift anakusaliti anawaita na wadogo zake wanamwandamia mama yao huku ukibaki na mshangao😮😮😮.

Unavumilia kukaa wiki bila familia,unatumia kila jitihada ili mkeo arudi lkn wapi! Unafunga safari uende kwa wakwezo na hawaonyeshi ushirikiano unarudi kwako bila mke.....usingizi hauji,chakula hakipandi,unabaki stress tupu.

Hujui wa kumuuliza na kumshirikisha yaliyokupata na hukuwa na kawaida ya kushirikisha watu wengine matatizo ya ndoa yako....na hukuwa na urafiki na watu wengine tangia ulipooa zaidi ya mkeo.kusema ukweli unapita kipindi kigumu Sana!!

Unafika mwezi,miezi miwili mwili umeisha, na kwasababu ya msongo wa mawazo uliokuwa nao unajikuta kwenye shida ya vidonda vya tumbo..... kila ukila chakula unatapika....

mwenye nyumba anajua mkeo yuko kwao kusalimia sawa na ulivyomwambia lkn wapangaji wenzio wanakutana na mkeo mjini kapendeza ni hatari!! Lkn hakuna anayekugongea mlangoni akuulize umeshindaje.

Baada ya miezi mitano unasikia mkeo kaolewa.

Unaishiwa nguvu......unadhoofu zaidi yaani wewe ni kushinda ndani tu.....wapangaji wenzako hawakuoni kutoka wala kuingia ndani ila mlango kwa nje haufungwi.....

kumbe tangia ulipoweka miguu juu ya meza umekaa juu ya kochi lako ukiwaza nini hatima ya maissha yako kumbe ulikata roho paleoale😟😟

Mwili wako ukaanza kujiozea,na kadri ulivyozidi kuoza ukakosa hata balance ya kukaa kwenye kiti hakuna anayejua (wanadamu hawana upendo) serikali za mitaa wanakuja kushtuka zimepita siku nyingi ndio wanaita polisi wanakukuta umekuwa mifupa....na mdomo wako ulionesha ulilia sana kabla ya kukata roho.

Any way niseme na walio hai maana wewe haupo nasi.......

Wanawake,ishini na waume zenu kwa utii na kwa upendo usio na unafiki na kwa kuvumiliana.

Haya maisha yanaenda kasi sana,hautaishi milele duniani....usimtendee mtu jambo usilopenda kutendewa.usiwe sababu ya mwenzio kulia na siku zake kufupishwa.....

Kuna wakati ndoa zinapita kwenye jua kali Sana....lkn fahamu jua litakoma saa za jioni zikifika......ukibahatika kupendwa pendeka hata pasipokuwa na kitu....na wanaume vile vile fanyeni kazi ili msiingie kwenye majaribu yasiyokuwa na ulazima!!

Philemon Kuhani Mwakalambo
 
To walk in forgiveness you must forgive EVERY TIME the memory comes up. - Charlie Howell III
 
Back
Top Bottom