Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Takwimu za Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), mwaka 2020, zinaonyesha kuwa wakala ulisajili talaka 511 Tanzania nzima kati ya hizo 221 kutoka Dar es Salaam pekee. Idadi hiyo ni ongezeko la talaka 69 ikilinganishwa na talaka 442 zilizosajiliwa mwaka 2019.
Msajili wa ndoa na talaka wa Rita, Jane Barongo anasema Dar es Salaam inaoongoza kwa talaka zinazowasilishwa na wanandoa wenyewe.
“Huwa tunapokea maombi ya kusajili talaka kutoka mahakamani na wateja binafsi, Dar inaongoza kwa watu binafsi kuleta wenyewe maombi kutaka kusajili vyeti vya talaka,” alisema Jane.
DAR ES SALAAM inaongoza kwa wanaume KUCHAPIWA WAKE ZAO, sababu kuu ni WANAUME KUWA WACHOVU kitandani kutokana na kukaa foleni muda mrefu asubuhi na jioni, kula chips, kupenda junk food na kukosa ubinifu kitandani, inasemekana wanachapiwa na watu wanaotoka mikoani [ex-]
Ex
Hellow, mambo m' cute..!!?
Girl: poa tu nani mwenzangu..?
Ex aah!! ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa...?
Girl
: hayo hayakuhusu sema we nani...?
Ex: mi Kimario
Girl. : OMG!! mzima wewe?
za siku?
Ex: nzuri tu nimekumiss..
Girl: we si uliniacha bwana...
Ex: hapana, hujajua tu ninavyoumia hasa nilivyosikia umeolewa., Na Jofu wa Kota.
Girl: ndio hivyo ningefanyaje sasa?
Ex
: bado unaishi kwenye moyo wangu.
Girl: mmh!! asante
Ex
: Niko mkoani kwenu hapa...
Girl : mmh!! kweli umefikia wapi?
Ex: lodge tu. lodge flan huku chuda. nimekuja kwenye seminar mara moja..
Girl: haya bwana karibu kwetu...
Ex: mmh!! namuogopa mumeo
Girl: hofu yako tu...
Ex
: njoo hata unisalimie jamani... nimekumiss sana.
Girl: mmh wa kunimiss ntakuwa mimi.
Ex
: Niamini bado nakupenda naomba uje...
Girl: mmh!! kutoka hapa ishu labda kesho mume wangu akienda kazini...
Ex: poa saa ngap...?
Girl: Anaenda kazini asubuhi hivyo mi nitatoka saa nne.
Ex. : poa ntakuambia chumba nilichopo.
Girl: wee tafadhali Sana babu siingii lodge mimi.. mimi mke wa mtu usijisahaulishe
Ex. : please sitakufanya chochote... siwez kukuforce kitu usichopenda kufanya niamini.
Girl
: we... ndio mnasemaga hivyo hivyo
Ex. : pleas siwez niamini
Girl. : sawa lakini sitakaa sana.... Na Ni story tu sitaki mambo mengine.
Ex. : poa usijar mamy
Girl
: sawa..
Hivi ndivyo ma ex wanavyoharibu ndoa za watu/mkeo akishaanza kuchat na EX WAKE UMEKWISHA NDUGU YANGU.....ni ngumu kuushinda ushawishi wa EX labda kwa mwanamke matuared!!!...... fuatiliaa hii
BAADA YA KUONANA HIYO KESHO
Girl
: ila sijapenda uliniambia hutanifanya kitu afu umenilazimisha mpaka tumesex.. sijapenda kiukweli
Ex: Nisamehe wangu.. nilishindwa si unajua tuliko toka.. lakini asante nimeenjoy sana. Bado uko na utamu wako mamiii
Girl: sijapenda unadhani mume wangu akijua ntafanyaje
Ex: Hawezi kufahamu atajuaje sasa!!
Girl: tambua tu hivyo...
Ghafla usitume text amekuja...
Ex : poa usiku mwema.
BAADAYE BAADA YA MWANAUME KUONDOKA
Girl : nambie
Ex: poa kaondoka
Girl: ndio ila akija ntakuambia.
Ex. poa ila mi naondoka kesho kutwa uje uniage.
Girl: ntaangalia asipokuwepo.
Ex: mmh Jamani sasa akiwepo je!!?
Girl: mmh sijui ntaaga naenda kwa rafiki yangu. ntakuja ila sitakaa
Ex: sawa.. nakupenda sana
Girl : nakupenda pia, ila usirudie kuniumiza.
Ex: sitaweza rudia tena dear!!!
*Hivyo ndivyo mwanaamke akiingia kwenye mtego wa ex inavyokuwa ngumu kuutoka!!!
Kama hujaoa bikra ujue lazma utagongewa tu, haijalishi kama unamridhisha ila na yeye atataka kumfurahisha ex-wake, otherwise awe ameokoka na mlokole kweli.
kumbukumbu zikirudishwa nyuma ni ngumu kuepuka huu mtego!!!
Na haya mahusiano yanaweza kudumu hata miaka sita mwanaume asijue..
Dada heshimu ndoa yako!! huyo ex angekuwa anakupenda sana angekuoa basi, anarudi sababu umeolewa anajua hutamsumbua atakuwa mpigaji tu na hakuna mapenzi hapo...!!!!
na wewe mwanaume anayetembea na mke wa mtu kisa eti ni ex wako... fikiria tu mke wako anakufanyia hivyo!! maumivu utakayoyapata ndio anayopitia mume wa ex wako akijua!! when goes around comes arounds unayomfanyia mke wa mwenzio hata mkeo anafanyiwa hivyo hivyo sema hujui tu!! hakuna ubaya unaoenda bure... Amini kwamba.
Sauti iko sawa!!?
Ama nipunguze kidogo
Nashare ila nna hakika ndoa zitapona