Ndoa Zinavyovunjika Dar/mikoani: Takwimu zinatisha

Ndoa Zinavyovunjika Dar/mikoani: Takwimu zinatisha

Ex ana kunyima vipi sasa wakati mnajuana KILA kitu,mfano hostel mmeishi miaka 3 kama mke na mume mkitafunana ni ngumu kuishinda nguvu ya x
 
... talaka 511 kwa mwaka mzima mbona fair sana! Hamna cha takwimu kutisha hapo! Na kama hizo takwimu ni sahihi then Tz ni miongoni mwa nchi zinazoongoza duniani kwa wananchi wake kudumu kwenye ndoa. Kuna nchi watu wanaoana na kuachana kama kuku acha masikhara!
Hizo talaka ni zile zilizosajiliwa RITA, ila takwimu halisi na zile ambazo hazijasajiliwa inabidi hio idadi ya RITA izidishwe mara 10.
 
Shimo ambalo mwanamme ataingia peke yake ni kaburini TU Tena kwenye kimwanandani! Mashimo mengine yaliyobaki tunashare TU mpaka kieleweke!
 
Back
Top Bottom