sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Imekuwa shughuli pevu kwa king (mfakme) kupata taji la namba 1 huko youtube
Hapo wiki mbilizilizopita zuchu alimuwekea kauzibe king kiba, Ndomboloo ikashindwa kukamata namba moja
Saizi kaachia salute lakini wapi, kunView attachment 1838933
Viva harmo, jana nilistuka kutoka view 380k hadi 1.9m gafla 3.8m tranding, like na dislike zimesimama sema dogo anapambana kiboya sanakipindi chote watu wanasema kuhusu kununua viewers, nilikuwa nakataa. Kumbe mimi ndio nilikuwa mshamba wa smartphone. Leo nimejionea mwenyewe kumbe hizi mambo zinawezekana.
Elimu elimu elimu. Msanii anejitambua hata kama kuiba hawezi kuiba kishamba hivyo.Viva harmo, jana nilistuka kutoka view 380k hadi 1.9m gafla 3.8m tranding, like na dislike zimesimama sema dogo anapambana kiboya sana
Walishatoka huko, watu wana platforms mpya sana wanaweka na ku promote ngoma.. Africa kwetu ndio bado watu wanachachawa na views kwamba ukiwa na views nyingi youtube we ndio bora. Kwa ma views ya Mondi angeshashinda hata Grammy achilia kuwa nominated..Yani Views za Mmakonde zinavyopanda inashangaza na kufukilisha sana, kuhusu uimara ya hiyo platform ya youtube,. Ndo maana wasanii wakubwa wa mbele wanaweka ngoma hata hawapigi promo kwamba kaview youtube..
Sadly washauri wake hawamwambii.. kwa ukubwa wa jina lake huwezi fanya uboya wa namna hiiViva harmo, jana nilistuka kutoka view 380k hadi 1.9m gafla 3.8m tranding, like na dislike zimesimama sema dogo anapambana kiboya sana
Imekuwa shughuli pevu kwa king (mfakme) kupata taji la namba 1 huko youtube
Hapo wiki mbilizilizopita zuchu alimuwekea kauzibe king kiba, Ndomboloo ikashindwa kukamata namba moja
Saizi kaachia salute lakini wapi, kuna uwezekano mkubwa wa zuchu kushika namba mbili.
View attachment 1838933
π πhamorminse yuko namba 7 na ana viewers wengi kuliko wote hao
angalia comments sa ali kiba almost mara tatu za diamond
nenda pia digital platform zinginez mwanzo wa mwisho wa diamond ndio huo
hakutegemea hili, hata wewe umeanzisha uzi unajifariji maana faraja ni kuwa no.1 kumbe wenzako wwnaangalia nguvu ya huyu imetokew wapi? wapenzi wake ni
Ali kiba ana subscriber laki tisa, kwenye video yake ana comment 21k
diamond ana subscriber 3m, kwenye wimbo wake ana comment 9.8k
haujaona nani kachokwa? nani katoa mbovu?
Kibakuli, kiba atasumbua sana tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mmakonde noma,... yan kweupeee bla hata woga.
Msanii anasumbua miaka miwili hata International shows zenye hapatihamorminse yuko namba 7 na ana viewers wengi kuliko wote hao