Ndombolo na saluti zote zimeshindwa kuwa namba moja youtube trending, tatizo nini?

Ndombolo na saluti zote zimeshindwa kuwa namba moja youtube trending, tatizo nini?

hamorminse yuko namba 7 na ana viewers wengi kuliko wote hao

angalia comments sa ali kiba almost mara tatu za diamond

nenda pia digital platform zinginez mwanzo wa mwisho wa diamond ndio huo


hakutegemea hili, hata wewe umeanzisha uzi unajifariji maana faraja ni kuwa no.1 kumbe wenzako wwnaangalia nguvu ya huyu imetokew wapi? wapenzi wake ni

Ali kiba ana subscriber laki tisa, kwenye video yake ana comment 21k

diamond ana subscriber 3m, kwenye wimbo wake ana comment 9.8k

haujaona nani kachokwa? nani katoa mbovu?


Kibakuli, kiba atasumbua sana tu
Hzo comments zinasemaje...,?
Me nyingi nlizosoma watu wanamtukana karibia comments 15k, afu 1032 wameweka 🔥🔥🔥🔥, hawa wengine 5000 wanamaoni tofauti wengine wanamsifia konde, wengine wanasema mond ni noma akajifunze kwake, wengine wanamsifia kiba.
Inshort hzo comment hazina lolote na haziingizi chochote, kikubwa ni views tu.
 
Sasa mimi nina swali la kijinga.. Kama mtu anaweza akanunua viewers inashindikana vipi kufanya muamala na na hapo kwenye trending..
sio rahisi kuidanganya system ya youtube, kuna jopo la wataaam wanalipwa mamilioni kila wiki kazi yao ni kukubaliana na hizo janja janja
 
Sisi konde gengi hatusikii chochote, views za Ssndakalawe sasa hivi ni = dimondi (kamata)+ Ali kiba (saluti)+ zuchu (singeli sijui hata unaitwaje wimbo wenyewe)🤣
 
kipindi chote watu wanasema kuhusu kununua viewers, nilikuwa nakataa. Kumbe mimi ndio nilikuwa mshamba wa smartphone. Leo nimejionea mwenyewe kumbe hizi mambo zinawezekana.
Kwahiyo unakubali boss wako naye ni walewale
 
kipindi chote watu wanasema kuhusu kununua viewers, nilikuwa nakataa. Kumbe mimi ndio nilikuwa mshamba wa smartphone. Leo nimejionea mwenyewe kumbe hizi mambo zinawezekana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi konde gengi hatusikii chochote, views za Ssndakalawe sasa hivi ni = dimondi (kamata)+ Ali kiba (saluti)+ zuchu (singeli sijui hata unaitwaje wimbo wenyewe)[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom