herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Hzo comments zinasemaje...,?hamorminse yuko namba 7 na ana viewers wengi kuliko wote hao
angalia comments sa ali kiba almost mara tatu za diamond
nenda pia digital platform zinginez mwanzo wa mwisho wa diamond ndio huo
hakutegemea hili, hata wewe umeanzisha uzi unajifariji maana faraja ni kuwa no.1 kumbe wenzako wwnaangalia nguvu ya huyu imetokew wapi? wapenzi wake ni
Ali kiba ana subscriber laki tisa, kwenye video yake ana comment 21k
diamond ana subscriber 3m, kwenye wimbo wake ana comment 9.8k
haujaona nani kachokwa? nani katoa mbovu?
Kibakuli, kiba atasumbua sana tu
Me nyingi nlizosoma watu wanamtukana karibia comments 15k, afu 1032 wameweka 🔥🔥🔥🔥, hawa wengine 5000 wanamaoni tofauti wengine wanamsifia konde, wengine wanasema mond ni noma akajifunze kwake, wengine wanamsifia kiba.
Inshort hzo comment hazina lolote na haziingizi chochote, kikubwa ni views tu.