Ndondi: Bondia Twaha Kiduku ampiga Lago Kiziria kwa pointi

Ifike kipindi TWAHA atoke na akapigane nje za nchi hii kila siku anapigana hapa hapa na hashindi kwa KO ni tatzo akipigana hapa ushindi unaotakiwa wa KO au kumapasua pasua mtu

Atapoteza heshima yake kwa mtindo Huu wa kupambana kila siku nchini kwake awe na mtindo wa kutoka nje za nch akatafute heshima huko
 
Wacha nisubiri tank azichape na yule dogo mwenye mdomo mrefu...
Bongo miyeyusho sana,kwa staili hii atufiki, ni kweli namshabikia twaha ila tunataka ushindi wa kihalali sio kubebwa.
Wamezingua big time
Garcia kapigwa kipigo cha mbwa koko.
 
Ifike kipindi TWAHA atoke na akapigane nje za nchi hii kila siku anapigana hapa hapa na hashindi kwa KO ni tatzo akipigana hapa ushindi unaotakiwa wa KO au kumapasua pasua mtu

Atapoteza heshima yake kwa mtindo Huu wa kupambana kila siku nchini kwake awe na mtindo wa kutoka nje za nch akatafute heshima huko
Mpe mkataba.
 
Back
Top Bottom