Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,021
- 2,242
Pambana hovyo kabisa
Fafanua anaendaga kwa babu au? [emoji3][emoji3][emoji3]Huyu jamaa, wenzakee wanasemaga jamaaa huwa anatumia spirit flan flan katika Game.
Ile punch ilijaa uso mzima lazima ubongo utikisike.Kurukaruka kote punch moja tu mtu chali [emoji23]