Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Andy Ruiz na AJ wote hawamuwezi King Kong Luis Ortiz.Wilder akutane na mshindi kati ya Ruiz au bishooo Aj ili afungie mikanda yote kabatini.nimefrai sana kwa ushindi wake.ngumi jiweee
Duh. Huyu Wilder simwelewagi lakini naona tu watu wanakalishwa sielewi inakuwaje yan[emoji23]Ile punch ilijaa uso mzima lazima ubongo utikisike.
Ukweli kabisaAndy Ruiz na AJ wote hawamuwezi King Kong Luis Ortiz.
Wilder anawakalisha wote.
Wilder kupigana hataki yeye anataka kumaliza pamabano tu.Duh. Huyu Wilder simwelewagi lakini naona tu watu wanakalishwa sielewi inakuwaje yan[emoji23]
Umeangalia mpambano lakini?Ortiz kashambulia raundi ya kwanza mpaka ya sita ya Saba Wilder karusha ngumi moja tu Ortiz Chali.
Noo Ortiz ameongoza kwa point katika round zote saba.Umeangalia mpambano lakini?
Mbona Ortiz kadundwa ngumi nyingi tu!
Basata wamfungie Wilder hahaha....alitaka kumfarikisha mtuile siyo ngumi ni tofali aisee, huyu bronze bomber ni muuaji
Ndo nnachompendaga[emoji38][emoji38], heavyweight haihitaji mambo mengi, mbwembwe tuwaachie kina Mayweather, huku heavyweight ni ngumi moja tu unakaa[emoji1787]Ortiz kashambulia raundi ya kwanza mpaka ya sita ya Saba Wilder karusha ngumi moja tu Ortiz Chali.
Lazima ukaeile siyo ngumi ni tofali aisee, huyu bronze bomber ni muuaji
Ata Tyson fury bado level kubwa sana kwa AJndio maana Antony Joshua anamkwepa, AJ yuko radhi apigane na Furry kuliko Wilder
Mabondia wa heavy weight kwa sasa ni aibu tupu, namiss sana ile crop ya akina Lennox Lewis, Klitcho, Evander, Kassim Rahman etc.Kesho alfajiri tutashuhudia pambano kubwa la uzito wa juu kati ya Deontay Wilder 'The Bronze Bomber' na Luis Ortiz 'KingKong', hili ni pambano la marudiano baada ya lile la awali liliyofanyika mapema mwaka jana, ambapo Wilder alishinda kwa KO (kwa tabu sana). Endapo Wilder atashinda ataungana na magwiji wengine kama Muhammad Ali kwakuwa atakuwa ameutetea mkanda wake wa WCB kwa mara ya 10 mfululizo, rekodi za hawa wawili ni kama zinavyoonekana hapo pichani...View attachment 1269718View attachment 1269719
Wilder ana zero skills, anategemea 1 KO punch. Hakuna aliyewahi kupigana naye hajaenda chini, lengo lake ni moja tu aingiapo ulingoni ni kukuKO, maana anajijua kubox hawezi
Ndo maan alikuwa anavuta vuta round, ili biashara isi haribike.Wilder kupigana hataki yeye anataka kumaliza pamabano tu.