Nadhani Anthony Joshua 'AJ' ndo heavyweights kwa sasa.Kwa hyo kwa Sasa hivi ni mabondia gani wameshikilia nafasi za heavyweight duniani,maana Mimi kwa kutoelewa kwangu nilifikir kwamba kina Man Pacquiao ndio wapo viwango vya mwisho.
kwa mara ya kwanza kashindwa kushinda kwa KOEfe AJAGBA, the next big thing in heavyweight divisionView attachment 1158084
Chisora kashinda 2 Round KOKwenye pambano la WHYTE vs RIVAZ kutakuwa na pambano jingine la kusisimua 'undercard' la uzito wa juu kati ya CHISORA na SZPILKAView attachment 1158075
Whyte kashinda via UDDillian Whyte 'the body snatcher'View attachment 1158086
Wanaoshikilia mikanda mikubwa ya Heavyweight ni wawili; Deontay Wilder mkanda mmoja (WBC), na Andy Ruiz mikanda mitatu aliyompokonya Antony Joshua ambayo ni (WBO), (WBA) na (IBF)Kwa hyo kwa Sasa hivi ni mabondia gani wameshikilia nafasi za heavyweight duniani,maana Mimi kwa kutoelewa kwangu nilifikir kwamba kina Man Pacquiao ndio wapo viwango vya mwisho.
Keith Thurman kumbe boya, maneno yote yale kashindwa kumpiga mzee wa miaka 40[emoji44]? Nimeelewa kwanini alikuwa anakwepa kupigana na Error Spence, maana ingekuwa aibu. Pacquiao inabidi astaafu sasa kwa heshima, akijiroga kupigana na Spence amekwishaManny Pacquiao produced an all-time great performance to dominate Keith Thurman in style, with Floyd Mayweather watching ringside
Hawa wawili ndo wanashikilia mikanda yote mikubwa ya uzito wa juu (heavyweight)Kwa hyo kwa Sasa hivi ni mabondia gani wameshikilia nafasi za heavyweight duniani,maana Mimi kwa kutoelewa kwangu nilifikir kwamba kina Man Pacquiao ndio wapo viwango vya mwisho.
Mkuu hebu tengeza special thread ya ndondi tuwe tunapeana updates za kila game na Abc kadha wa kadha kuhusu Ndondi. Mods saidieni hapaMatokeo; Man Pacquiao kashinda via Split Decision (SD) hivyo kuukwaa mkanda wa WBC, kwa upande wa pambano la Heavyweight Dillian Whyte kashinda via UD (Unonimous Decision)
Pambano lilikuwaje kwa mlioonaMatokeo; Man Pacquiao kashinda via Split Decision (SD) hivyo kuukwaa mkanda wa WBC, kwa upande wa pambano la Heavyweight Dillian Whyte kashinda via UD (Unonimous Decision)
Niliwahi kuweka hii hapa ila haikupata mwitikio mzuri, inaonesha wapenzi wa boxing wachache sikuhizi https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1573190/Mkuu hebu tengeza special thread ya ndondi tuwe tunapeana updates za kila game na Abc kadha wa kadha kuhusu Ndondi. Mods saidieni hapa
Baada ya Mike Iron Tyson kutundika gloves na kuanza kufuga njiwa, mwitikio wa masumbwi umepungua sana huku Bongo.Niliwahi kuweka hii hapa ila haikupata mwitikio mzuri, inaonesha wapenzi wa boxing wachache sikuhizi https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1573190/
OK!Sio bongo tu, duniani