NDONDI: Keith Thurman atamba kumstaafisha Man Pacquiao kesho

Kwa hyo kwa Sasa hivi ni mabondia gani wameshikilia nafasi za heavyweight duniani,maana Mimi kwa kutoelewa kwangu nilifikir kwamba kina Man Pacquiao ndio wapo viwango vya mwisho.
Nadhani Anthony Joshua 'AJ' ndo heavyweights kwa sasa.
 
Manny Pacquiao produced an all-time great performance to dominate Keith Thurman in style, with Floyd Mayweather watching ringside
 
Pambano ni muda gani wakuu, na litarushwa super sports ngapi????
 
Kwa hyo kwa Sasa hivi ni mabondia gani wameshikilia nafasi za heavyweight duniani,maana Mimi kwa kutoelewa kwangu nilifikir kwamba kina Man Pacquiao ndio wapo viwango vya mwisho.
Wanaoshikilia mikanda mikubwa ya Heavyweight ni wawili; Deontay Wilder mkanda mmoja (WBC), na Andy Ruiz mikanda mitatu aliyompokonya Antony Joshua ambayo ni (WBO), (WBA) na (IBF)
 
Nadhani Anthony Joshua 'AJ' ndo heavyweights kwa sasa.
Sio bingwa tena, aliporwa mikanda yake yote na Andy Ruiz
Screenshot_20190614-121451_1563653390259.jpeg
 
Manny Pacquiao produced an all-time great performance to dominate Keith Thurman in style, with Floyd Mayweather watching ringside
Keith Thurman kumbe boya, maneno yote yale kashindwa kumpiga mzee wa miaka 40[emoji44]? Nimeelewa kwanini alikuwa anakwepa kupigana na Error Spence, maana ingekuwa aibu. Pacquiao inabidi astaafu sasa kwa heshima, akijiroga kupigana na Spence amekwisha
 
Kwa hyo kwa Sasa hivi ni mabondia gani wameshikilia nafasi za heavyweight duniani,maana Mimi kwa kutoelewa kwangu nilifikir kwamba kina Man Pacquiao ndio wapo viwango vya mwisho.
Hawa wawili ndo wanashikilia mikanda yote mikubwa ya uzito wa juu (heavyweight)
Screenshot_20190721-091805.jpeg
 
Matokeo; Man Pacquiao kashinda via Split Decision (SD) hivyo kuukwaa mkanda wa WBC, kwa upande wa pambano la Heavyweight Dillian Whyte kashinda via UD (Unonimous Decision)
Mkuu hebu tengeza special thread ya ndondi tuwe tunapeana updates za kila game na Abc kadha wa kadha kuhusu Ndondi. Mods saidieni hapa
 
Matokeo; Man Pacquiao kashinda via Split Decision (SD) hivyo kuukwaa mkanda wa WBC, kwa upande wa pambano la Heavyweight Dillian Whyte kashinda via UD (Unonimous Decision)
Pambano lilikuwaje kwa mlioona
 
Back
Top Bottom